Kwanini katika historia za Marehemu inawataja Mke na Watoto bila kutaja mali alizoacha?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Naomba kujibiwa swali linalonitatiza, Inaposomwa historia fupi ya Marehemu inataja ameacha Mke na Watoto bila kutaja mali alizoacha katika uhai wake Mashamba, Nyumba na Magari?

Pia katika Wosia aliondika katika uhai wake ameorodhesha Mali, Pesa na Madeni na mgawanyo wake bila kutaja Amewacha Mke na Watoto.
 
Kuna Kikao cha Ukoo na Familia Hayo watajadili huko
 
Historia ya marehemu inasomwa pale pale msibani/kaburini in the presence of family members.

Mali alizoacha marehemu hujulikana baada ya kufungua wosia wake ambao hufunguliwa kwa kufuata taratibu maalamu. Zaidi wakati wa mazishi wosia bado haujajulikana upo wapi! Hope umeelewa.

Btw, unataka kujua mali na madeni ya marehemu ili iweje?
 
Historia fupi ya marehemu: alizaliwa,akazurura,akafa.Unataka mtajiwe hadi mali Ili muanze kumtesa mjane wa watu?
 
Back
Top Bottom