Nina wasiwasi na haya mawasiliano ya wife na karani mwenzie wa sensa

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Za saizi waheshimiwa

Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa.

Leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana, nikamhoji wife jamaa ni nani akajibu ni karani mwenzie wa sensa sikutaka kuhoji sana hilo.

Ila kwa kweli nina wasiwasi huenda nagongewa.

Nifanyaje wakuu?
 
Haya mambo ni magumu Sana kuujua ukweli.

Simu uficha mengi yasiyo na majibu yenye kuleta mashaka na ugonjwa wa moyo. Unaweza ukaziunganisha dots zikakupa majibu sio au ndio.

Pa jana ni tungo tata, uenda walipoishia Kazi jana au wanamaanisha vingine.
 
Labda anazungumzia wakutane kituoni kwenye ofisi ya kuchukulia vifaa vyao vya kazi. Uwenda wako mtaa mmoja na wife wako anahitaji kampani ya kazi tu.

Haya mambo hayahitaji pressure relax na usiwaze negatives tu,weka utulivu hata kama utaamua kumfuatilia nenda kimya kimya lasivyo atapoteza ushahidi kwa kubadili mbinu.

Ulivyoanza kuwa na wasiwasi na huyo Peter hukutakiwa kumwambia hapo hapo ungeanza na uchunguzi kwanza.
 
Za saizi waheshimiwa
Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa.sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara,kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa.leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana.nikamhoji wife jamaa ni nani akajibu ni karani mwenzie wa sensa.sikutaka kuhoji sana hilo.
Ila kwa kweli nina wasiwasi huenda nagongewa.
Nifanyaje wakuu?
Kika siku ahsubuhi peleka moto wa kibabe kisha muache aende sensa.

Hakikisha kila akiamka anakuta jogoo mtungini
 
Muache afanye kazi Kwa uhuru, kama kuliwa hata kabla wa sensa pengine ameliwa kama ni kiliwacho, utajipa stress bure, Kwani hata kikiliwa kuna tatizo gani kama ameamua kutumia kiungo chake mwenyewe. Ukigundua analiwa unamuacha awe chakula cha uma(Cha wote) unatafuta cha kwako. Maisha ni haya haya usije jinyonga eti kisa mke ametumia kiungo chake kujinufaisha mwenye halafu wewe ukafa, na jehanamu ukachomwa moto.
 
Ukitaka kuishi kwa amani basi usipende kuwa na hisia negative, kama huwezi basi usiwe unamchunguza mwenzako, moyo wako utakua na amani sana
 
Yaaani hakuna kiumbe dhaifu kumfuatilia na kumgundua nyendo zake kama mwanamke yaani haihijiki uwajir CIA ama FBI kumchunguza ni ww mwenyewe tu unamgunda kwa mda mdog sana
 
Ila kwa kweli nina wasiwasi huenda nagongewa.
Jiamini mzee,,,,, Ukweli siku zote huwa upo wazi,,haujifichi....hakikisha kile cha Asubuhi umekikoleza ipasavyo,,,,inaweza punguza makali kidogo japo haimalizi...

Then Relax endelea kupambana na Maisha,,,insecurities zitakumaliza na ukichanganya na hizi Tozo usije ukajiua kabisa..

Kitu pekee kizuri kuhusu Wanawake ni There are so many of them

Be a Man,,
 
Leo asubuh imetoka connection ya karani wa sensa kainamishwa anapelekewa moto.
Sasa mkuu kama hizi siku za sensa wife ako alivaa nguo ya chini nyeupe, jua tu tunda limemegwa tena kiroho mbaya!
 
Za saizi waheshimiwa

Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa.

Leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana, nikamhoji wife jamaa ni nani akajibu ni karani mwenzie wa sensa sikutaka kuhoji sana hilo.

Ila kwa kweli nina wasiwasi huenda nagongewa.

Nifanyaje wakuu?
1.Makarani huwa wanaingia hadi ndani kwa wanaowahesabu kama watakaribishwa.

2.wahesabiwa wengine huwa wana roho ya huruma hivyo wanawakaribisha pombe kali chakula wanapumzika kisha anapewa ya usafiri.
 
Back
Top Bottom