Habari za leo wakuu.
Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi.
Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker.
Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine.
Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's mimi nitashukuru sana.
Ninapatikana kwenye namba 0717311689.