Nina tatizo la kukojoa damu

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
884
375
Wakuu zaa saa hizi nimepimwa figo, kibofu ini ila vyote havina shida kwa mujibu wa ct scan wakapima mkojo pia hauna shida ila sasa ninakojoa damu siku ya tatu.

Naombeni msaaada kama kuna mtu ashapata hii shida
 
Kama unashinda juani halafu hunywi maji ni tatizo. je, maji unakunywa ya bombani au ya kawaida. kuna sehemu nilikuwa nikiendaga maji ya eneo lile yalinileteaga hiyo shida kama yako, nikaacha kuyanywa.

Au kunywa maji mengi sana yaani kama mwehu. wakati ukitafuta ufumbuzi zaidi.
 
kama unashinda juani halafu hunywi maji ni tatizo. je, maji unakunywa ya bombani au ya kawaida. kuna sehemu nilikuwa nikiendaga maji ya eneo lile yalinileteaga hiyo shida kama yako, nikaacha kuyanywa.

au kunywa maji mengi sana yaani kama mwehu. wakati ukitafuta ufumbuzi zaidi.
hukutumia dawa yoyote kaka maana nimepewa dawa ila naona bado zonatoka toka


sasa sijui nafanyaje na nimepima vipimo vingi mnoo
 
ilitoka kama siku ngapi na ilikuwa nyingi mfululizo au matone au wakati wa kuanza kukojoa au wakati wa kumaliza kukojoa?
matone mkuu. nikienda kukojoa mkojo unatoka kidogo sana kinachofuata hapo ni damu. lakini unakuwa naendelea kusikia ukiniuma sana na ilinichukua siku mbili tu hali ikaanza kuwa poa.
 
Wakuu zaa saa hizi nimepimwa figo,kibofu ini ila vyote havina shida kwa mujibu wa ct scan


wakapima
mkojo pia hauna shida ila sasa ninakojoa damu siku ya tatu.

naombeni msaaada kama kuna mtu ashapata hii shida
Vipimo umefanya sehemu ya uhakika? Baadhi ya maabara zetu za Bongo i.e. vipimo na wataalam, Mungu ndiye anajua! Usichoke kumwona tena dr.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom