Nina tatizo hili la kiutumishi wa UMMA naomba msaada kujuzwa

Ukuu wa idara ni mzuri,ila usilazimishe kuupata mana kunaweza kukawa na madhara mengi kuliko faida,
Ila cha msingi ni kujituma, na bidii huwa haijifichi hata kama ni kwa muda mrefu kiasi gan umefanya kazi kwa nidhamu ya hali ya juu,ikishindikana tafuta mbadala ambao utakufanya ufike unapohitaji na maisha yaelekee huko,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom