Nina tatizo hili la kiutumishi wa UMMA naomba msaada kujuzwa

Si lazima uwe mtumishi wa UMMA!kama vipi unasepa.Jaribu kuangalia uwezekano wa kupata ajira kwenye private sector vilevile u can make use of you education brother.
 
nashukuru mkuu ila lengo sio ukuu wa idara nilitaka kujua tu anapatikanaje na kwa vigezo vipi
mi navyojua ukifanyiwa recategorization unaendelea kulamba mshahara wako uleule,kwani mara nyingi haushushwi labda kama ulipandishwa kimakosa tu,kama umeshushwa bro nenda kwa wanaohusika na masuala ya utumishi wa umma wakusaidie ila sio hao walioshusha mshahara wako,tafuta wengine uwaelezee kwa uhuru,kuhusu suala la kuwa mkuu wa idara ni hadi uteuliwe kwani hicho cheo hakiji kwa mserereko kama hv vya kawaida,piga kazi,utaonwa tu na mwisho wa cku utateuliwa,pole sana mkuu
 
nimekupata ila ninachohitaji ni kujua tu vigezo
Pole sana kwa kurudishwa nyuma mshahara wako, ulitakiwa kuhama nao as mshahara binafsi.

Suala la ukuu wa idara forget about that, ualimu then mipango uwe mkuu wa idara kwa mwaka mmoja uliofanya kazi. Ungeenda idara ya elimu may be ingekuwa rahisi lakini everything is possible, just fight.
 
Maafisa utumishi wa serikali ni maumivu matupu, wengi wao hawana msaada kabisa. Pia nina wasiwasi na elimu zao maana wengie hawawezi hata kutafriri nyaraka into practice. Ni tatizo na ni kubwa na ndiyo maana unakuta kuna malalamiko mengi sana ya rasilimali watu. Pole ila nina wasiwasi umesomea kitu kipya na ili upande cheo ni lazima ufuate taratibu zinazotakiwa. Ingekuwa ulibaki elimu basi ungekuwa unapanda cheo, kwa kasi zaidi. Pole sana but mambo mazuri hayana haraka. Fanya kazi kwa ufanisi ili uonekane kwa wakubwa.
 
Tatizo nipo nje ya mji kwa ajili ya hizi sikukuu, lakini nikirudi nitajitahidi kukutafutia majibu. ingawa mara nyingi uzoefu huwa unaangaliwa katika idara husika.Ukumbuke Mkuu wa idara ni final katika idara husika.Sasa wewe uzoefu wako upo zaidi kwenye ualimu na siyo kwenye idara ya mipango. Na huwa wanafanya hivyo wakiamini kwamba baada ya miaka hiyo unakuwa unaijua vizuri idara yako na majukumu yako.
 
Kwanza naomba uelewe kuwa Elimu na miaka saba pekee havitoshi automatically kukufanya uwe mkuu wa idara. Ni utendaji bora wenye ufanisi na tija katika utumishi wa umma. Nadhani OPRAS unayo, angalia comment za boss wako kwenye hiyo OPRAS yako.
Pili nije kwenye swali yako. Jibu ni kwamba ni UZOEFU KAZI. Kwa hiyo kama ni Mipango basi ni miaka isiyopungua saba katika kitengo cha mipango. Mwambie Afisa Utumishi akupe kitabu cha muundo mpya wa utumishi katika halmashauri, utaona sifa za kila kada. Ukishindwa nikumbushe baada ya sikukuu nitakuwa ofisini, nikupatie
Umemaliza. Siongezi wala kupunguza neno.
 
yes nilisomea kitu kipya tofauti na ualimu
Maafisa utumishi wa serikali ni maumivu matupu, wengi wao hawana msaada kabisa. Pia nina wasiwasi na elimu zao maana wengie hawawezi hata kutafriri nyaraka into practice. Ni tatizo na ni kubwa na ndiyo maana unakuta kuna malalamiko mengi sana ya rasilimali watu. Pole ila nina wasiwasi umesomea kitu kipya na ili upande cheo ni lazima ufuate taratibu zinazotakiwa. Ingekuwa ulibaki elimu basi ungekuwa unapanda cheo, kwa kasi zaidi. Pole sana but mambo mazuri hayana haraka. Fanya kazi kwa ufanisi ili uonekane kwa wakubwa.
 
mwanangu unajua miaka saba kwa idara husika naona kama ni mingi maana UTUMISHI WA UMMA nimetumikia zaidi ya miaka 10 nikiwa mwalimu then nikabadilisha so kukaa tena miaka 7 yataka moyo sana any way ngoja niendelee kupata mawazo nashukuru sana mkuu umeniongezea kitu kichwani
Tatizo nipo nje ya mji kwa ajili ya hizi sikukuu, lakini nikirudi nitajitahidi kukutafutia majibu. ingawa mara nyingi uzoefu huwa unaangaliwa katika idara husika.Ukumbuke Mkuu wa idara ni final katika idara husika.Sasa wewe uzoefu wako upo zaidi kwenye ualimu na siyo kwenye idara ya mipango. Na huwa wanafanya hivyo wakiamini kwamba baada ya miaka hiyo unakuwa unaijua vizuri idara yako na majukumu yako.
 
Wanajamvi naomba kujua vigezo vya uteuzi wa wakuu wa idara katika hizi halmashauri za wilaya ni kwamba wengine wanasema mpaka uwe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 7 kwa idara moja tu yaani ile unayoifanyia kazi na wengine wanasema mpaka uwe na uzoefu wa miaka 7 katika utumishi wa UMMA haijalishi idara moja unayofanyia kazi bali ni idara yeyote ile katika halmashauri ilimradi umeutumikia UMMA kwa miaka 7.kwa hiyo napata mkanganyiko hapo.

Ni hivi mimi nilikua mwalimu ambaye niliajiliwa mwaka 1998 baadae nikajiendeleza kwa kusoma chuo cha mipango dodoma degree na masters ambapo nimemaliza mwaka juzi 2010 na baada ya kuhitimu nikarudi wilayani kwangu na kufanya recategolization nimehamishiwa idara ya mipango nina mwaka na kidogo mpaka sasa toka nihamishiwe idara hii mpya je kwa uzoefu huu wa mwaka mmoja katika hii idara ya mipango nina uwezo wa kuteuliwa na kua mkuu wa idara??kwasababu ukihesabu toka nianze kazi 1998 mpaka sasa ni miaka 13 ambapo 12 nilikua mwalimu shule za msingi na nimekua afisa mipango kwa mwaka mmoja kwa hiyo naomba msaada wa kujuzwa hilo pia kama kuna waraka wa uteuzi wa wakuu wa idara mmoja kati yetu anao ningeomba atuwekee hapa ili na sisi tuuone walau uweze kutusaidia kutatua jambo hili maana nakosa raha kabisa kwa kua siyaoni matunda ya elimu yangu kichwa kimebaki kimechanganyikiwa kabisaaaaaa maana ukiniambia nitumikie cheo hiki kipya miaka 7 ndipo nipate ukuu wa idara maana yake nitaupata uafisa mipango wa wilaya karibia na kustaafu.mbaya zaidi nilipofanyiwa recategolization maana yake nilirudishwa kwenye TGS D kama mtu wa entry point kweli haya naona kama ni maumivu makali sana ndio maana nimeona niingie hapa jamvini kwani naamini jamvi hili litasaidia kupata maoni mbalimbali na nyaraka za vyeo juu ya jambo hili

Maelezo meeeengi, lakini hapa we unaonekana unataka ukuu wa idara. Hapo kazi unayo, maana miaka 7 ni lazima itimie ndo utakuwa na kigenzo cha kupata ukuu wa idara. Na kwa ngazi ya mshahara ulioanzia itakuchukua muda kufikia sifa kwani mkuu wa idara anatakiwa awe na TGS-G au TGS-H ili iwe rahisi kumsogeza kwenye TGS-I ambayo ndiyo stahili ya mkuu wa idara, endapo itatokea mkuu wako hayupo kwa sababu yoyote ile, unaweza kukaimu lakin si kurasimishwa cheo hicho. Nakuombea PEPO MTAKA VYEO akutoke maana utawamaliza wenzako ofisini.
 
hahaaaaaaaaaaaa haya bwana nimekupata

Aiseee baba yangu kwanini usiende pale wizara ya kazi kuna kitengo cha usuwlishi wanaweza kukusaidia ndugu kiko akiba pale
 
leo najua umerudi kazini baada ya sherehe za Eid naomba bac ukiweza nitafutie huo waraka au nimegee kidogo chochote utakachokipata juu ya hili suala la ukuu wa idara
Tatizo nipo nje ya mji kwa ajili ya hizi sikukuu, lakini nikirudi nitajitahidi kukutafutia majibu. ingawa mara nyingi uzoefu huwa unaangaliwa katika idara husika.Ukumbuke Mkuu wa idara ni final katika idara husika.Sasa wewe uzoefu wako upo zaidi kwenye ualimu na siyo kwenye idara ya mipango. Na huwa wanafanya hivyo wakiamini kwamba baada ya miaka hiyo unakuwa unaijua vizuri idara yako na majukumu yako.
 
Aiseee baba yangu kwanini usiende pale wizara ya kazi kuna kitengo cha usuwlishi wanaweza kukusaidia ndugu kiko akiba pale

Mkuu naomba unifahamishe, hivi Wizara ya Kazi inaweza msaidia mtu katika maswala ya uteuzi wa ukuu wa idara au ni mpaka TAMISEMI na UTUMISHI peke yao?
 
Talk to "people who make decisions". Dont believe in maandishi.

Mkuu ebu tusaidie, hivi mhusika katika haya maswala ya uteuzi wa wakuu wa idara unafanywa na UTUMISHI au TAMISEMU, na ni nani mhusika pale kama ni swala la kuongea na mtu, (Najua na ngumu kuweka majina ya watu, lakini ni je Katibu Mkuu wa WIzara husika au wakurugenzi?
 
Mkuu vipi, umeshapata/ kumjua mhusika wa kumuona na ni katika wizara ipi ili kuweza kulikamilisha hili swala la uteuzi?
 
Kwanza naomba uelewe kuwa Elimu na miaka saba pekee havitoshi automatically kukufanya uwe mkuu wa idara. Ni utendaji bora wenye ufanisi na tija katika utumishi wa umma. Nadhani OPRAS unayo, angalia comment za boss wako kwenye hiyo OPRAS yako.
Pili nije kwenye swali yako. Jibu ni kwamba ni UZOEFU KAZI. Kwa hiyo kama ni Mipango basi ni miaka isiyopungua saba katika kitengo cha mipango. Mwambie Afisa Utumishi akupe kitabu cha muundo mpya wa utumishi katika halmashauri, utaona sifa za kila kada. Ukishindwa nikumbushe baada ya sikukuu nitakuwa ofisini, nikupatie

Hizi stori za utumishi hazieleweki na sidhani kama uchapakazi unaweza kuwa kigezo cha kupata ukuu wa idara bali ni lobbying. Hizo OPRAS ni stori tu nimefanya kazi miaka mitano sasa na nliijaza mara moja tu kihuni na sioni watu wakijaza na sijapandishwa cheo mpaka sasa. Naumia kimtindo lakini
ipo siku,
nami ntakuwa mtu
kati ya watu
waloniona kyatu
wanifwate fyatufyatu.

Kama waweza lobbying fanya mkuu vinginevyo utastaafu na masters yako ukiwa TGSF. Na ni kwanini mtu anayeongeza elimu aadhibiwe kwa kurudishwa ngazi ya chini ya mshahara??
 
Maelezo meeeengi, lakini hapa we unaonekana unataka ukuu wa idara. Hapo kazi unayo, maana miaka 7 ni lazima itimie ndo utakuwa na kigenzo cha kupata ukuu wa idara. Na kwa ngazi ya mshahara ulioanzia itakuchukua muda kufikia sifa kwani mkuu wa idara anatakiwa awe na TGS-G au TGS-H ili iwe rahisi kumsogeza kwenye TGS-I ambayo ndiyo stahili ya mkuu wa idara, endapo itatokea mkuu wako hayupo kwa sababu yoyote ile, unaweza kukaimu lakin si kurasimishwa cheo hicho. Nakuombea PEPO MTAKA VYEO akutoke maana utawamaliza wenzako ofisini.

Wapo wanaopandishwa toka D mpaka kuwa mkuu wa idara namjua mmoja tena afisa utumushi. Lobbying tu.
 
Kubadili Fani ndio kume kuponza......Ungekomaa na Education ingekuwa poa sana
 
Kwa mfano kama angesoma fani yake faida zingekuwa zipi? Maana nasikia unapanda tu labda toka D1 Mpaka D3 basi mfano kama mtumishi alikuwa ana bachelor akaenda kuongeza mastaers
 
Back
Top Bottom