Nina shida na mil 15

Mr Mose

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
368
524
Habari members Nina shida na million 15 haraka Sana ndani ya wiki hii lakini Sina chochote Cha kuuza chenye thamani ya mil 15 Wala Sina asset ya kuweka dhamana nikakope bank au kwa mtu yoyote. Wala Sina ndugu au mtu wakumipa hiyo pesa nipeni mawazo nifanyeje ( legal or illegal) nipate hiyo pesa
 
YUPO YESU KRISTO OMBA KWAKE KILA KITU KINAWEZEKANA MTAJI IMANI YAKO TU
Lion%20of%20Judah.jpg
 
Habari members Nina shida na million 15 haraka Sana ndani ya wiki hii lakini Sina chochote Cha kuuza chenye thamani ya mil 15 Wala Sina asset ya kuweka dhamana nikakope bank au kwa mtu yoyote. Wala Sina ndugu au mtu wakumipa hiyo pesa nipeni mawazo nifanyeje ( legal or illegal) nipate hiyo pesa
Huna kitu lakini unataka mls 15. Kama kungekuwa na mtu anayejua how to make 15 mls from nothing in a week humu, Wallah asingeshare bali angekuwa anazalisha 15 mls kila week kwa mwezi 60 mls yani mara 4 ya mshahara wa mbunge
 
Habari members Nina shida na million 15 haraka Sana ndani ya wiki hii lakini Sina chochote Cha kuuza chenye thamani ya mil 15 Wala Sina asset ya kuweka dhamana nikakope bank au kwa mtu yoyote. Wala Sina ndugu au mtu wakumipa hiyo pesa nipeni mawazo nifanyeje ( legal or illegal) nipate hiyo pesa
Huna ndugu au mtu wa kumipa hiyo pesa!
Hapo labda uibe maana hutapata sehemu yoyote kama ulivyoandika.
Ila kumipa na kisambaa, sasa umewakosea nini watu dunia yote?
 
Back
Top Bottom