Nina nywele zenye asili ya unjano njano. Msaada wa dawa au ushauri wowote

Wrevta

JF-Expert Member
Jan 18, 2023
1,440
1,720
Kazi iendelee! Hodi JamiiHealth.

Mimi ni mweupe kimuonekano, shida yangu ni unjano wa nywele zangu hali inayonikosesha raha na kujikuta naona aibu mno.

Naonekana kama age go fulani kwa sababu nashindwa kunyoa minyoro ya fasheni kama vijana wengi wa sasa. Sababu kubwa ni wekundu wa nywele zangu.

Kwa kupiga piga jicho kwa haraka tu, naona nitabaki single kwa muda mrefu. Ni mweupe, ninavaa vizuri ila ni nywele tu na wekundu wake. Yaani mnyoro wangu ni mmoja tu, wa kupunguza nywele zote level moja ili zibaki ndogo niwe nazichana kwa brush.

Je, natakiwa kutumia madawa au natakiwa kukubaliana na hali na kubaki na nywele zangu?

Je, nibaki na mnyoro wangu wa kizee au nifosi kunyoa fasheni kama watu wenye nywele nyeusi?

Inafika wakati nywele zikikua kubwa sana naonekana kama Mzungu 'koko' asiye na matunzo na huu weupe wangu.

Nakosa raha! Nataka kuonekana kisasa, kama vijana wengine, na kuwa wa kisasa.
NB: siyo kuwa muhuni ila wa kisasa tu, atleast nipate guts za ku roll na mabinti wazuri pasipo kujishtukia.

Ahsanteni!
 
Jikubali ulivyo ukitaka kujibadilisha na kupaka dawa ili zibadilike rangi utajitesa maana itabidi ufanye hivyo maisha yote
Ila wengine wanapaka rangi. Na wanapendeza mno! Wanauvaa uhalisia wa kijana wa kisasa.
 
Aaaah labda ni za kurithi hzo kaka kubalian na haki tu
Shida mimi ni rijali, na napenda mno warembo bro sasa hebu imagine na nywele hizi... wewe niambie hata dawa bzuri ya kupaka kuondoa huu wekundu na kusafishia nywele, hasa zikiwa ndefu kaka.
 
Kazi iendelee! Hodi JamiiHealth.

Mimi ni mweupe kimuonekano, shida yangu ni unjano wa nywele zangu hali inayonikosesha raha na kujikuta naona aibu mno.

Naonekana kama age go fulani kwa sababu nashindwa kunyoa minyoro ya fasheni kama vijana wengi wa sasa. Sababu kubwa ni wekundu wa nywele zangu.

Kwa kupiga piga jicho kwa haraka tu, naona nitabaki single kwa muda mrefu. Ni mweupe, ninavaa vizuri ila ni nywele tu na wekundu wake. Yaani mnyoro wangu ni mmoja tu, wa kupunguza nywele zote level moja ili zibaki ndogo niwe nazichana kwa brush.

Je, natakiwa kutumia madawa au natakiwa kukubaliana na hali na kubaki na nywele zangu?

Je, nibaki na mnyoro wangu wa kizee au nifosi kunyoa fasheni kama watu wenye nywele nyeusi?

Inafika wakati nywele zikikua kubwa sana naonekana kama Mzungu 'koko' asiye na matunzo na huu weupe wangu.

Nakosa raha! Nataka kuonekana kisasa, kama vijana wengine, na kuwa wa kisasa.
NB: siyo kuwa muhuni ila wa kisasa tu, atleast nipate guts za ku roll na mabinti wazuri pasipo kujishtukia.

Ahsanteni!
Weka picha

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Shida mimi ni rijali, na napenda mno warembo bro sasa hebu imagine na nywele hizi... wewe niambie hata dawa bzuri ya kupaka kuondoa huu wekundu na kusafishia nywele, hasa zikiwa ndefu kaka.

Una some elements za albinism.

Utajisumbua bure, ukijikubali kila mtu around atakukubali, ulishawahi fikiria albino wanaishije, mbona wanaoa na wanazaa watoto wengi tu
 
Sasa ndiyo nataka solution. Tangu utoto nywele zangu zikiwa kubwa zinapoteza rangi nyeusi.
Nenda hospitali ukapimwe. Wakikukuta na tatizo uweze kutumia supplements za zinc.
Kumbuka ni hatari kutumia dawa bila vipimo.
 
Sawa. Ila siyo kwamba nimechelewa sana? Na umri huu zitabadilika?
 
Back
Top Bottom