Nina nuksi au nini jamani? Mbona sielewi?!

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Hii itakuwa ni thread ya 4 naweka hapa kwa ajili ya Masuala ya kazi.
Mara ya kwanza niliomba kufanya kazi ya Utangazaji japo nilisema sijausomea popote pale,ila nina kipaji na najiamini kwa hilo. Akatokea jamaa humu humu akanitumia mfano wa taari ya habari akisema nijirekod afu nimtumie hiyo sauti,mara akaingia mitini.
Mara ya pili nikaomba jamani nielekezwe sehemu ya kazi za jeshi au Ulinzi basi nikaambulia kuomba Jkt na Magereza. Wakati nafuatilia dili za Jkt juz juz tu mara tukaanza kupigwa zengwe kibao! Wakala buku 10 zangu eti kwa ajili ya kuchukua vipimo vya afya tayari kwa kujiunga na Jkt,mara ajira ikaota mbawa. Kurudi magereza mara wakasema wameshafanya intavyuu so mimi ckuwepo nako nikakosa.
Mara ya tatu,nikaona basi kwa kuwa huko kote nshakosa. Ngoja nitangaze niombe kazi yoyote hapa mjini[dar]to mention a few nikataja kama kuuza duka,butchery,kazi za ofcn kama usekeretary hv,au viwandani kwenye firm Industry na NGO's labda. Mara hapo nikapigiwa cm na jamaa kaniambia atanitafuta kesho,lakini hadi leo[wiki imepita sasa] sijamwona na hata nikim text anapotezea.
Mara ya nne ndo hii sasa.; JAMANI NADHANI MMEONA JINSI NILIVYO 'HASO' NATAFUTA KAZI YOYOTE HAPA MJINI. Nimechoka kukaa Idle home na kijiweni. Ningejiajiri lakini hela na mtaji sina. Wengine tunajua kweli the basic life of individual family. Basi kama yeyote mwenye hurumu na ana nia ya kuajiri naomba tuongee angalau na mimi nipate namna ya kujiendesha mjini hapa. Hakuna kitu kibaya kuomba kila siku mia ya kula. Hata kama ni ndugu,atakupa ila masimango juu yake. So kwa yeyote atakayeguswa. Please tuwasiliane through 0718651174 au 0768252589. UBARIKIWE
 
pole sana dogo, najua machungu uliyonayo...nakushauri pita mtaa kwa mtaa na usione aibu kuongea na watu..naamini utafanikiwa.
 
Natamani nimwendee Mustapha Sabodo anipe mtaji nijiajiri,make naona anatoa msaada sana huyu jamaa! I real wish to contact with him.
 
Natamani nimwendee Mustapha Sabodo anipe mtaji nijiajiri,make naona anatoa msaada sana huyu jamaa! I real wish to contact with him.

mh mawazo yako utata mtupu....watu wa aina hiyo huwa wanatoa pesa ili wapate umaarufu.
 
Natamani nimwendee Mustapha Sabodo anipe mtaji nijiajiri,make naona anatoa msaada sana huyu jamaa! I real wish to contact with him.

Dah! M2 wangu muombe Mungu 2 akusaidie sio bin adam atakutesa baadaye.....utajuta kwanini alikusaidia.
 
Najua jinsi unavyofeel.. hata mm mwenzako nilipitia hiyo stage, nakushauri dar ni sehemu ngumu kiajira kwa sasa, badili mji...niliona arusha angalau ni simple kupata kazi.
 
Pole kijana,ila kuwa mvumilivu,hay ni mapito ya kufikia mafanikio..mi mwenywe naelimu yangu lkn kitaa hakieleweki.
 
Mara ya pili nikaomba jamani nielekezwe sehemu ya kazi za jeshi au Ulinzi basi nikaambulia kuomba Jkt na Magereza. Wakati nafuatilia dili za Jkt juz juz tu mara tukaanza kupigwa zengwe kibao! Wakala buku 10 zangu eti kwa ajili ya kuchukua vipimo vya afya tayari kwa kujiunga na Jkt,mara ajira ikaota mbawa. Kurudi magereza mara wakasema wameshafanya intavyuu so mimi ckuwepo nako nikakosa

kama una nia ya kufanya kazi ya ulinzi watafute KK SECURITY, wanalipa vizuri. Hapo Dar sijajua ofisi zao ziko sehem gani, ila we ulizia utawapata. Wanachukua kuanzia Form Four. Fanya hvyo can be a starting point to your success
 
Back
Top Bottom