Nina nuksi au nini jamani? Mbona sielewi?!

kama una nia ya kufanya kazi ya ulinzi watafute KK SECURITY, wanalipa vizuri. Hapo Dar sijajua ofisi zao ziko sehem gani, ila we ulizia utawapata. Wanachukua kuanzia Form Four. Fanya hvyo can be a starting point to your success

ngoja nikaulizie watu hapa mjini wapi zilipo ofc zao.
 
Umepata kazi bana.Nenda pale Riverside njia ya kwenda kwa mzee wa upako,nyoosha moja kwa moja mpaka uvuke shule ya msingi mbele kidogo utaona bango limeandikwa British Contact.wanajihusisha na ujasiliamali.feedback.
 
You men! unasema huna mtaji, ungejiajiri, hivi unafikiri mtaji wa kujiajiri ni kiasi gani? ngoja nikuambie, Tafuta kama mradi walau wa 50,000/= andaa vizuri, angali na faida yake, design marketing strategy alafu uanze. Kuna wife wa my friend alikuwa anagombana na mume wake kwa sababu anataka mtaji wa 20,000/=, mume wake akaona hakuna biashara ya aina hiyo. Nikamwambia wewe mpe, mbona hapa jioni tushakausha more than fifty. basi jamaa akampa, wife wake akanunua materials ya kufumia mikufu, bangili na hereni akakaa chini kwa siku mbili, 20000 imeisha. bahati nzuri akapata mteja mmoja akanunua mikufu mitatu kwa 15,000/= akabakiwa na mikufu 4 na hereni 4 sawa na 21,000. Nakuambia huyo shem sasa ana 4 weeks amepata order ya mikufu 500 yenye thamani ya 2,500,000/=. Embu jitose, ni rahisi kufanya kazi ngumu kabla hujapata kuajiriwa.
 
mkuu umempa mawazo mazuri...ila ugumu unakuja hata kwenye kuipata hiyo elfu 50...ukimsaidia Mungu atakuongezea
 
Hapo sasa!! Kama hvyo alivyosema,unaweza kumwambia mtu akupe mtaji wa hvo akakataa kwa kuona labda haiwezekani. Ila kwa kuwa wewe unajua inawezekana,tusaidiane basi.
 
Back
Top Bottom