Lomy_5
Member
- Jul 31, 2020
- 24
- 14
Habari za majukumu waheshimiwa👋
naamini mko salama...
Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/=
Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi.
1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye biashara ya bodaboda (kutoa mkataba) kwa miaka miwili)
2. Second hand phones from Dubai and their accessories (coz ninajuana na wadau wengi wanaofanya hii kitu)
3. Electrical and electronics devices (coz naipenda)
4. Vifaa vya ujenzi ( coz kwa sehemu ninapoenda kuish mji bado mpya ndo unajengwa, kwa hapa... changamoto nafkiri kwamba mtaji ni mdogo)
Au kama kuna option nyingine iliyo nzuri zaidi ya nilizotaja sio mbaya pia
Nahitimu chuo next month (BACHELOR DEGREE IN COMPUTER ENGINEERING)
NaTaNgUlIzA ShUkRaNi ZaNgu KwEnU 🙏🏾🙏🏾