Lomy_5

Member
Jul 31, 2020
24
13
Habari za majukumu waheshimiwa👋
naamini mko salama...

Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/=

Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi.

1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye biashara ya bodaboda (kutoa mkataba) kwa miaka miwili)

2. Second hand phones from Dubai and their accessories (coz ninajuana na wadau wengi wanaofanya hii kitu)

3. Electrical and electronics devices (coz naipenda)

4. Vifaa vya ujenzi ( coz kwa sehemu ninapoenda kuish mji bado mpya ndo unajengwa, kwa hapa... changamoto nafkiri kwamba mtaji ni mdogo)

Au kama kuna option nyingine iliyo nzuri zaidi ya nilizotaja sio mbaya pia

Nahitimu chuo next month (BACHELOR DEGREE IN COMPUTER ENGINEERING)

NaTaNgUlIzA ShUkRaNi ZaNgu KwEnU 🙏🏾🙏🏾
 
Nenda Tunduma maeneo ya Kisimani na Black Kwa wauza maturubai na vyombo vya plastic chukuwa kiasi nenda navyo Kamsamba, Chiliamatundu, na vijiji vingine uwauzie wakulima wa Mpunga, kwenye lile blonde utapiga Hela sana. ukimaliza unahamia Kasende, Iyendwe, ukiweza chukuwa na Vitenge pale Black Kwa Kina Momba. Au Chukuwa vipodozi pale Black upeleke Mbeya mjini na Iringa hapo waone magwiji wa Black wakusadie jinsi ya kusafirisha mizigo
 
Vipodozi aisee TRA wanaweza kukutia hasara Kwa siku moja umasikini ukaupata
 
Nenda Tunduma maeneo ya Kisimani na Black Kwa wauza maturubai na vyombo vya plastic chukuwa kiasi nenda navyo Kamsamba, Chiliamatundu, na vijiji vingine uwauzie wakulima wa Mpunga, kwenye lile blonde utapiga Hela sana. ukimaliza unahamia Kasende, Iyendwe, ukiweza chukuwa na Vitenge pale Black Kwa Kina Momba. Au Chukuwa vipodozi pale Black upeleke Mbeya mjini na Iringa hapo waone magwiji wa Black wakusadie jinsi ya kusafirisha mizigo
Naendelea kukusanya mawazo mkuu... Nimekuelewa vizuri sana🙏🏾
 
Habari za majukumu waheshimiwa
naamini mko salama...

Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/=

kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi

1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye biashara ya bodaboda (kutoa mkataba) kwa miaka miwili)

2. Second hand phones from dubai and their accessories (coz ninajuana na wadau wengi wanaofanya hii kitu)

3. Electrical and electronics devices (coz naipenda)

4. Vifaa vya ujenzi ( coz kwa sehemu ninapoenda kuish mji bado mpya ndo unajengwa, kwa hapa... changamoto nafkiri kwamba mtaji ni mdogo)

au kama kuna option nyingine iliyo nzuri zaid ya nilizotaja sio mbaya pia

Nahitimu chuo next month (BACHELOR DEGREE IN COMPUTER ENGINEERING)

NaTaNgUlIzA ShUkRaNi ZaNgu KwEnU
Ok
 
Chukua m3 nunua shamba ekari 2 panda ndizi na ulisahau kwa miezi minane. Hakikisha linafanyiwa parizi na dawa ya mimea.
M2 fungua kibanda cha kuonesha mpira sehemu nzuri. Nunua projector nzuri. Hutajuta.

Angalizo: Hela isiwe umekopa benki au kwa mtu yenye riba. Utajuta.
 
Spea za pikipiki Anza nazo mdogomdogo
Sawa mkuu... ila naomba niongeze swali hapo,

Kwa hii biashara (kuuza rejareja) mzunguko mzuri unahitaji wastani wa mtaji kiasi gani ikiwa mzigo ntataka kuwa nakuchukulia K-koo🤔
 
Fanya biashara ya kununua nafaka na kuziuza,msimu wa kiangazi huu utapiga hela
Sawa nimekuelewa chief, ila changamoto kwenye hili nahisi nitafeli kutokana na muda (coz bado nipo chuo, namaliza mwezi wa saba) bado sina connection ya wateja wa kununua na kuuza pia.

Kwa huku kwetu wameshaanza kuvuna, nafkiri itanishinda kufanya utafiti wa soko kwa haraka haraka hivi, labda nkumuachia mtu asimamie(kitu ambacho naona bado hakinibariki)

Maybe niendelee kujipanga zaidi kwa msimu ujao...

Sijajua labda nimekuelewa tofauti🤔
 
Nunua mpunga wako upige route 3, ilee ya nne unauacha kusubiri bei.Kafaida ka route 3 unakulaa. Mpaka mwezi wa 2 unafumua hukosi M15. Biashara hiii Haina kurogaaa.
Niliwahi kufanya hii msimu flani,

ilinicost kutokana na kushindwa kuujua mpunga mzuri, kwahiyo nilinunua mpunga (kamsamba) baada ya kuukoboa (mlowo) nikapata chenga kwa kiasi kikubwa aisee...

ikanikatisha tamaa yan, bado sijafwatilia kujua wazoefu wanapambanaje kuepukana na hili...

kama una uzoefu wowote naomba unipe ABCs boss🤲
 
Back
Top Bottom