Mimi napokea mzigo nakulipa hapo hapo, nanunua kwa jumla sasa ivi @70,000 kwa gunia hapa dodoma. Yakichanganya nitashusha bei kwa kadri ya soko litakapokuwaSoko lipo la uhakika yaani mzigo unafika na kuuzwa hapohapo? Au inabidi uanze kutafuta wateja. Maana kukaa na kuanza kutafuta wateja ni gharama lazima nayo ipigiwe mahesabu