Nina mtaji wa sh. 60,000 nifanye biashara gani kwa Iringa?

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,456
2,437
Shalom,

Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.

Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara huku nikiendelea kutafuta namna sahihi ya kujikwamua.

Nahitaji mawazo yenu wakuu, nifanye kitu gani kwa hicho kiasi cha pesa kwa hapa Iringa mjini?

Awali ya yote, SHUKURANI!

--------
Pitia mada hii kwa ushauri wa kupata wazo la biashara
  1. Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
 
Karibu home city boyy
Zama orofea hapo
1.....Kadake hata mans trousers 10 zuga nazo kitaa
2.....shuka zako zizi la ng’ombe pale ...shuka hadi ruwaha kule kunakazi zakupakia matofali
3......samola stadium nje pale kuna tipa hua zinapaki
Jichangganye pale upakie mizigo
4......kuna jamaa yangu anaitwa issa hua anapakia mizigo inayotoka dsm kuja iringa
Ikifika yown hua anapakilisha kwenye magari ili kusambaza
Nkuunganishe nae?
5....... ukikutana na@Miss Renee msalimie
 
Niunganishe kwanza na huyo Issa mkuu.

Miss Renee simfahamu mkuu.

Yote kwa yote, thanks kwa ushirikiano na maoni mkuu. BARIKIWA!
 
Shalom,

Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.

Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara huku nikiendelea kutafuta namna sahihi ya kujikwamua.

Nahitaji mawazo yenu wakuu, nifanye kitu gani kwa hicho kiasi cha pesa kwa hapa Iringa mjini?

Awali ya yote, SHUKURANI!
Aksante jombaa angalia sasa namna yakupambana sio kulialia komaa kiume hizi nyuzi usifunguefungue tuu maana nimeanza kukutathmini kwa tayari una smart phone itakugharimu vocha na garama nyingine nikushauri uuze hivyo simu angalau mtaji upande hata ufike 150,ukipata kibarua hivyohivyo unasema kama kweli una maanisha mwaka utakua sehemu ingine

Thank me later
 
tafuta kibarua kwanza mkuu. 60,000 kwa kuanzia biashara inawezekana lakin ni ndogo mno ukizingatia wew sio mwenyeji wa eneo hilo. so tafuta vibarua kwanza uongeze mtaji huku ukiendelea kusoma ramani za hapo.
 
Sina smartphone mkuu, naperuzi JF kutumia Freebasics ya Opera mini.

Thanks kwa maoni pia.
 
tafuta kibarua kwanza mkuu. 60,000 kwa kuanzia biashara inawezekana lakin ni ndogo mno ukizingatia wew sio mwenyeji wa eneo hilo. so tafuta vibarua kwanza uongeze mtaji huku ukiendelea kusoma ramani za hapo.
Asante kwa maoni mkuu.
 
Karibu home city boyy
Zama orofea hapo
1.....Kadake hata mans trousers 10 zuga nazo kitaa
2.....shuka zako zizi la ng’ombe pale ...shuka hadi ruwaha kule kunakazi zakupakia matofali
3......samola stadium nje pale kuna tipa hua zinapaki
Jichangganye pale upakie mizigo
4......kuna jamaa yangu anaitwa issa hua anapakia mizigo inayotoka dsm kuja iringa
Ikifika yown hua anapakilisha kwenye magari ili kusambaza
Nkuunganishe nae?
5....... ukikutana na@Miss Renee msalimie
Kamwene! Beh..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom