Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 6,999
- 8,922
Ipo siku utapata kazi mradi usichague nzuri na mbaya, duniani hakuna kazi mbaya, hebu tuanze na utopasi, fikiria matopasi wote wache kazi hiyo, nyumba zote hazitakalika, ukisikia nyumba fulani nzuri sana ujue kunatopasi anaisafisha na yeye anapata mshahara wa kuendesha maisha. Kuna siku bahati itakuangukia utapata umeneja mshahara mnono sana, utaona umefika na utaanza maisha ya anasa na kujisahau, yarabi! Asubuhi unafika kazini na tai yako shingoni unakuta barua ya kufukuzwa kazi! Mshituko, ulipanda na umeshuka ghafla na unaanza kuchanganyikiwa kwani ulipokuwa meneja kila kitu cha nyumbani kilikuwa cha mwajiri nyumba pamoja na gari, sasa hauna gari na hauna godoro wala sahani! Ni wewe na tai yako shingoni.Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
wenzio kwa age ya 23 tulianza kumiliki kiwanja Dar es salaam, kufikia 27 tulinunuwa magari, sio kwamba ninajisifu, maisha ni yako mwenyewe, hakuna mtu atakuja kukuletea kapu la mafanikio, heshimu fedha iwe ndogo au kubwa, matumizi sahihi, maamuzi sahihi, mademu pembeni kwanza, jitume jibidishe, hakuna miujiza katika mafanikio ni juhudi tu! na kumuomba Mungu!Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Hauko peke yako Mkuu.
Heineken bei gan bar kwako?Hahahah hii kitu inapoteza vijana wengi sana mkuu, katika maisha yangu sikuwahi kuwaza ipo siku ntakaanga kitimoto na kuwafungulia watu bia. Ila ilifikia stage nikaona i have to do something for my self-development.
Maisha yatatukaza always cha msingi ni kubadilisha style tu ya kupigwa mashine ili usiumie sana ila kukazwa kupo pale pale.
3500 tu!
Angalau wwe unamiliki hata godoro na radio kumbuka wengi tz Hadi wanakufa hawana uwezo wa kumiliki hata hivo.Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.