hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
...lakini nataka demu wa JF ndiyo anipikie. Preta? Anyone else?
aisee ushapata uji wa shurba weye?
...lakini nataka demu wa JF ndiyo anipikie. Preta? Anyone else?
Mi mmoja wao Preta,au una madhara?
Ha ha ha wapi huko mamito? Asee na mi utakuja nipikia uji wa Shanga...
Iko wapi hiyo? ukinishika tunashikamana tu.....lol,,,,umeshapika uji wa shanga?
Nadhani huyu bwana anaitaji uji wa ulezi mzito na maziwa machachu, kisha uweke asali kidogo. Ukikaribia poa unaweka sukari na blue band. Hapo akikamato atakoma aliyekamatwa. ahaahhaaaaaaaaaaaaaaaaa
kwa jinsi ambavyo nina wananiihii.....nitawapikia uji wa shanga ambao hata Omega mbado kuona....wallah hamtaamini
Mi mmoja wao Preta,au una madhara?
Kama hujaolewa usiunywe
Nimekuelewa asante
uji ni swafi kabisa kwa wake na kwa waume......so you are in
Umeolewa?
Preta mbona naambiwa kama hujaoa/kuolewa si mzuri?hebu nipe ufafanuzi hapo
achana nao hao ni waongo usiwasikilize.....subiri uji uive tujimuvuzishe
Heheheee...himaya nini?
Nakusubiri huku:hungry:
Kumbe wajua mahitaji...!!basi we mpishi...!Nataka uwe na maziwa, siagi kidogo, na sukari kwa wastani....
kwa jinsi ambavyo nina wananiihii.....nitawapikia uji wa shanga ambao hata Omega mbado kuona....wallah hamtaamini
mtoto wakike mzima? Nimekuta umenitwangia ila sikuweza kukutwangia back, naomba tuongee luch time eeh mama eeh.kwa jinsi ambavyo nina wananiihii.....nitawapikia uji wa shanga ambao hata Omega mbado kuona....wallah hamtaamini
kwa jinsi ambavyo nina wananiihii.....nitawapikia uji wa shanga ambao hata Omega mbado kuona....wallah hamtaamini