Nina hamu na uji wa ulezi....

sasa wewe leo unanichanganya....hizo hamu zako zote zimekuja kwa pamoja?....basi maliza kusikia hamu zote ili nijue naanzia wapi
 
sasa wewe leo unanichanganya....hizo hamu zako zote zimekuja kwa pamoja?....basi maliza kusikia hamu zote ili nijue naanzia wapi

Sasa mama bila kushiba ile ingine nitaimalizaje? Vipi lakini, utanipikia?
 
yah...unataka uweje......mapishi ya ulezi yapo ya aina mbalimbali
 
Nadhani huyu bwana anaitaji uji wa ulezi mzito na maziwa machachu, kisha uweke asali kidogo. Ukikaribia poa unaweka sukari na blue band. Hapo akikamato atakoma aliyekamatwa. ahaahhaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nadhani huyu bwana anaitaji uji wa ulezi mzito na maziwa machachu, kisha uweke asali kidogo. Ukikaribia poa unaweka sukari na blue band. Hapo akikamato atakoma aliyekamatwa. ahaahhaaaaaaaaaaaaaaaaa

Yeah...tengeneza kama huo Preta
 
Yoo...I think am getting more than what I bargained for.....dayuuum

hahaa....thats the good thing about these chics here....... ( and a good reason to hang along with them).......sasa jiandae kwa uji wa shanga khaa am dying to find out how it looks like....and spot on you knew who could be fit for the job!....daaaaaaaaaaaaaaaaaamn
 
halafu nyie mbona hamji kwenye sredi ya mndeny kule......@ Kimey.....nasinzia nikikuwaza.......@ Kaizer....nikikushika
Ha ha ha wapi huko mamito? Asee na mi utakuja nipikia uji wa Shanga...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom