Nina hamu na uji wa ulezi....

Nadhani huyu bwana anaitaji uji wa ulezi mzito na maziwa machachu, kisha uweke asali kidogo. Ukikaribia poa unaweka sukari na blue band. Hapo akikamato atakoma aliyekamatwa. ahaahhaaaaaaaaaaaaaaaaa

why all those efforts? kwani huwa haisimami bila uji???
 
kwa jinsi ambavyo nina wananiihii.....nitawapikia uji wa shanga ambao hata Omega mbado kuona....wallah hamtaamini

Mama uji wa shanga ndo upi huo ..pamoja na kutembea vijiji vyote sijawahi kuusikia.
 
kwa jinsi ambavyo nina wananiihii.....nitawapikia uji wa shanga ambao hata Omega mbado kuona....wallah hamtaamini
mtoto wakike mzima? Nimekuta umenitwangia ila sikuweza kukutwangia back, naomba tuongee luch time eeh mama eeh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom