Nina aibu mpaka najiogopa!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Polen na kifo cha ghadaffi wakuu!!eti wadau,mimi ntakua na shida gani maana nina aibu mpaka najhc mim co binadamu wa kawaida,yani nikiwa naongea na mtu yeyote hata ndugu yangu wa damu cwezi muangalia uson ingawa kwa totoz huwa najitu2mua kiaina...sasa wadau hi k2 inasababshwa na nin na solutions zake ni zipi?
 
inawezekana utotoni ulikuwa na wazazi 'abusive'
walikuwa wanakukosoa kila mara na kukufanya ujione unakosa hivi
kukosolewa sana inakufanya usijiamini na ndo chanzo cha aibu
 
inawezekana utotoni ulikuwa na wazazi 'abusive'
walikuwa wanakukosoa kila mara na kukufanya ujione unakosa hivi
kukosolewa sana inakufanya usijiamini na ndo chanzo cha aibu

bahati mbaya cjawah ishi na watu wa namna hyo mkuu bt najishangaa 2 nko hv!
 
Kama kwenye totoz mkuu unaweza kujikakamua, basi tumia principles hizo hizo kaka! Ukijitutumua mwezi mzima mfulululizo automatically utakuwa umepona.
 
Kusanya maarifa mengi kichwani yahusuyo fields mbalimbali ili upate DHARAU POSITIVE ili uwe juu kupitia mawazo yako I swear hautakuwa mwoga tena.
 
Kimsingi tatizo kama hilo kama wewe mwenyewe umelitambua inakuwa rahisi kulimaliza ima kulipunguza,,wewe mwenyewe jaribu kujijengea "confidence"huku ukiamini kwamba unaweza kila kitu!
 
hata mie nilikuwa hivo sijui imepoteaje ngoja nifikirie upate ufumbuzi
 
kwa totoz unaweza kujikakamua kiaina na kwa watu wengine jikakamue hivyo hivyo ndo dawa hiyo.
 
Ongeza maarifa ili ujiskie unajua kuliko mwingine,siwafichi wanajf huwa nikimwangaliaga mtu machoni lazima apepese macho yake hata boss wangu huwa namtupiaga eye contact mwenyewe huwa anaangalia pembeni,sina aibu kabisa halafu sura yangu ni ngumu kwa hiyo lazima ujipange unaponiangalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom