NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 368
Upo mkoa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana hata ukienda kuoga unafumba macho ili usijichungulie?
Kwani we unathubutu kujichungulia? Ni dhambi...
Mmmh!!nenda hospital wakukate mshipa wa aibu.uhu msemo uwa nausikia sana may be utakusahidia
Jaribu kujichunguza ujue chanzo, yaani ni kitu gani unakifikiria au kinakuja mawazoni kwako ukiwa na watu. Angalia historia yake. Kama bado kipo tafuta utatuzi wake. Kama ni kitu cha kihistoria basi jaribu kukifuta mawazoni kwa kufikiria kitu kingine positive.
Kuna rafiki yangu alikua kikojozi mpaka darasa la 5. Bahati mbaya wazazi wake wakamtembeza mtaani na godoro. Ilim-affect sana shuleni mpaka tunamaliza lasaba. Baada ya miaka nikakutana nae full confidence na anahadithia watu kuwa alikua kikojozi mpaka la saba lakini shuleni alikua mkali (na kweli alikua mkali, ni graduate sasa). Aliweza kuibadili weakness kuwa kitu ya kawaida.
hata kama uliwahi kuliwa tigo kama haikua fair play sio tatizo pia!