Nimvumilie mume huyu au nimuache?

Pole dadangu kwa yaliyokukuta. Naomba nikupe ushauri ufuatao.
  1. Kama ulikuwa mbali na Mungu basi wakati umefika wa kuwa karibu na Mungu, mlilie sana, he will do your marriage for sure!
  2. PRAY FOR YOUR HUSBAND TO CHANGE!
  3. Tafuta kazi yako, elimu unayo.
  4. Be very busy with your work, and pretend kama humuoni, but just respect him. Habari za unyumba hata usimuombe, I am sure you wont die kama hujapata iyo kitu, kwanza kwa hayo ayafanyayo magonjwa yanamkaribia, so dont ask for unyumba.
  5. Kama umeshajaribu kurekebisha hadi kwa wazazi na watu wa Mungu, hebu keep quiet for months, kama humuoni vile. dont tell anyone about his problems unless akikupiga report him to the authorities. Kaa kimya kwa miezi kadhaa huku ukifanya hayo hapo juu, I am telling you utafanikiwa.
  6. Contact me privately NIKUPE CONTACTS ZA MTU ATAKAYEKUSAIDIA KTK MAOMBI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom