Change_it
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 279
- 84
Kuna demu nilisoma naye primary skul,kipindi hicho 2likuwa wote viranja ktk category ya usafi hapo skul, baada ya hapo 2mekutana mkoa flani 2kiwa vyuo tofauti, sasa anadai ananipenda na anaomba nimpe nafasi bt siko tayari na kiukweli sijamfeel kivile. Nifanyeje nisijenikamuumiza?