GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 986
- 655
binti mstaarabu kanizimikia. kanieleza ukweli wa moyo wake
na kwamba anatumaini tunaweza kufunga ndoa. binti ni mrembo
wa haja na anaelekea na wife material. anasema ameniona mimi ni
mtaratibu na mstaarabu. tatizo japokuwa naonekana mtaratibu ukweli
mi ni silencer na muharibifu flani hivi. sioni tatizo kudeal na wajuvi ila
huyu binti mmh. namuonea huruma. nikimtolea nje atajisikia vibaya na nisingependa
kumpa ukweli wangu kwani kwa kufanya hivyo nitakuwa najimaliza mwenyewe.
naomba ushauri nimtolee nje vipi huyu binti bila kumuathiri kisaikologia?