Ikwanja
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 2,082
- 581
Jana Katika taarifa ya habari ya ITV kuhusu mafuriko ya Mara, niliona mzee Nimrod Mkono akiwaambia wananchi wake kuwa anaenda kupambana na viongozi kwani hadi jana walikuwa hawajaenda kuwatembelea na hivyo kuwa hakuna tathmini yoyote iliyokuwa imefanyika. Kwa msisitizo Mzee Knono alitumia kauli ya CDM ya "hadi kieleweke"
My Take: Naona tangu Mkono asaini ilie hati ya Mh. Zito mambo yake yote ni according to the M4C, je inawezekana pia amepata KITUBIO?
My Take: Naona tangu Mkono asaini ilie hati ya Mh. Zito mambo yake yote ni according to the M4C, je inawezekana pia amepata KITUBIO?