Nimrod Mkono aitisha CCM

Mbona hii ni mara ya pili mfululizo anapigwa chini kugombea nafasi hiyo hiyo? Mkono he is not a threat kwenye siasa za makundi CCM bali mipesa yake ndio imemfanya awe karibu na magwiji kina Lowasa. wamkate jina Lowasa waone vumbi lake.
 
maneno ya kwenye khanga kama ya kigwangala..toka ccm ufilisiwe mali zako zote za wizi..kamuulize lamwai
 
Nimrod Mkono ni fisadi mkubwa kalipwa pesa nyingi sana kwenye sakata la BOT ni rafiki mkubwa wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu Daudi Balali, wamefanya sana ufisadi.
 
Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini ametishia chama chake endapo kitamtosa mpaka mwisho kwenye kinyang'anyiro cha Ujumbe wa NEC. Amesema hayo baada ya kutoswa kwenye mchakato wa awali.

Source: Mwananchi

Karibu TLP Fisadi, Chadema huna nafasi

Ana haki kama katoa pesa yake kununua hiyo nafasi kama kawaida na 'wauzaji' wakamwengua unategemea pasichimbike? Komaa mzee, usikubali dai chako kwani ndiyo sera ya chama chenu mzee.
 
Jana nilimuona ITV anaisifia CHADEMA "eti" hainaga longolongo kwenye chaguzi zake!

Wanaikubali moyoni sema mdomoni ndio wanakuwa wanafki tuu. Sintashangaa JK nae akivaa gwanda maana Hata JK original Angekuwa hai ungekuta kasha vua gamba na kuvaa gwanda...
 
Nimrodi sidhani kama ni threat kwa chama ila ni threat miongoni mwa wanachama........Ana nguvu ya pesa, ni mwanasiasa wa siku nyingi japo active politics amezianza miaka kama 10 iliyopita.

Lakini mkuu Kimbunga kumbuka Jumuiya ya wazazi ni moja ya taasisi zisizo na kishindo chochote!! Unakumbuka Idd Simba naye alikuwa mwenyekiti hapo na akaondolewa kwenye Uwaziri kwa kashfa ya sukari pamoja na kujitutumua kote (ingawa hakukiponda chama hadharani)

Shibuda naye walikuwa wanampigia rafu sana, pamoja na kumwandikia barua Ben Mkapa kuhusu rafu anazochezewa kwenye kinyang'anyiro na kulalamika sana lakini hakuna mtu aliyemjali na maisha yakaendelea.

Kifupi Jumuiya hii ni kama nyoka wa kibisa (Jumuiya ya Wazazi)? Hata JK kuna kipindi alitishia kuifuta. LAKINI HILO PIA LA MWANACHAMA KUONYESHA MAKUCHA YAKE NI UTARATIBU MPYA USIO RASMI WA WATOTO KUASI
 
Last edited by a moderator:
Mbona hii ni mara ya pili mfululizo anapigwa chini kugombea nafasi hiyo hiyo? Mkono he is not a threat kwenye siasa za makundi CCM bali mipesa yake ndio imemfanya awe karibu na magwiji kina Lowasa. wamkate jina Lowasa waone vumbi lake.
Kaka Matola wakijaribu kwa Lowassa itakuwa ndio mwisho wa CCM kwenye medani za siasa itabidi iungane na vyama rafiki kama EPA MEREMETA na DOWANS kwenye hayo mauti
 
wamuondoe halafu wajue the real king makers katika CCM nina uhakika kama akihamia CHADEMA Mara nzima inahamia CHADEMA! Hawa CCM wana wazimu!
 
mafisadi sio sisiem, bali ni magwanda wenye kadi na mavazi ya kijani. Wamejificha ndani ya chama letu kufisadi chama na kujaribu kuliyumbisha chama kubwa.
 
Nimrodi Mkono CCM hawamuwezi hata kidogo kwani jamaa alithubutu kutia sahii kwenye karatasi la Zitto.
 
Back
Top Bottom