Nimezinguana na askari wa Suma JKT Hospital ya Benjamin Mkapa

Wakati nipo katika ziara ya kutembelea maeneo nyeti hapa dodoma ikiwemo chuo cha CBE, bungeni, takwimu, hazina, udom, nafika tu Benjamin nataka kupiga picha jamaa akaanza oya we jamaa fasta njoo hapa nani kakuruhusu kupiga picha kama vipi Leo hutoki humu ndani.

Kumbe pale getini kuna picha na kamera imewekewa marufuku kupiga picha. Eti nyie ndo mnachafua mitandaoni hospital hii. Ikabidi niombe msamaha. Nikaachiwa
🤣🤣Hii ni maajabu
 
Ni kwel hospital nyingi wanazuia
 
Safi sana. Inatakiwa wananchi wapelekeshwe namna hii ili wafunguke akili zao zilizoganda kama nyumbu wa Manyara. Sehemu nyingine duniani makatazo kama haya yaliisha wakati wa vita kuu ya pili ya dunia lakini Bongo bado ''nyumbu'' wanapelekeshwa.
 
Wakati nipo katika ziara ya kutembelea maeneo nyeti hapa dodoma ikiwemo chuo cha CBE, bungeni, takwimu, hazina, udom, nafika tu Benjamin nataka kupiga picha jamaa akaanza oya we jamaa fasta njoo hapa nani kakuruhusu kupiga picha kama vipi Leo hutoki humu ndani.

Kumbe pale getini kuna picha na kamera imewekewa marufuku kupiga picha. Eti nyie ndo mnachafua mitandaoni hospital hii. Ikabidi niombe msamaha. Nikaachiwa
hivi wale nao ni askari au ni walinzi? wana power ya kuwa askari wale kisheria? ni wafanyakazi wa jeshi au waajiriwa kama walinzi private entities.
 
Tulijibizana sema alikuja mwenzie akaongeza nguvu
Acha hizo. Kubali tu umezinguliwa. Si umesema wewe mwenyewe kwamba uliomba msamaha? Na itakuwa ulifanya hivyo kwa sababu kumbe kuna tangazo la kuonya kupiga picha, hivyo kuendelea kubisha ni ujinga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom