Nimezinguana na askari wa Suma JKT Hospital ya Benjamin Mkapa

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wakati nipo katika ziara ya kutembelea maeneo nyeti hapa dodoma ikiwemo chuo cha CBE, bungeni, takwimu, hazina, udom, nafika tu Benjamin nataka kupiga picha jamaa akaanza oya we jamaa fasta njoo hapa nani kakuruhusu kupiga picha kama vipi Leo hutoki humu ndani.

Kumbe pale getini kuna picha na kamera imewekewa marufuku kupiga picha. Eti nyie ndo mnachafua mitandaoni hospital hii. Ikabidi niombe msamaha. Nikaachiwa
 
Wakati nipo katika ziara ya kutembelea maeneo nyeti hapa dodoma ikiwemo chuo cha CBE, bungeni, takwimu, hazina, udom, nafika tu Benjamin nataka kupiga picha jamaa akaanza oya we jamaa fasta njoo hapa nani kakuruhusu kupiga picha kama vip Leo hutoki humu ndani. Kumbe pale getini kuna picha na kamera imewekewa marufuku kupiga picha. Eti nyie ndo mnachafua mitandaoni hospital hii. Ikabidi niombe msamaha. Nikaachiwa
Ungemwambia wewe ni Tiss hakikisha unapoenda maeneo Kama hayo jitambuishe Kwa high profile.
 
Wakati nipo katika ziara ya kutembelea maeneo nyeti hapa dodoma ikiwemo chuo cha CBE, bungeni, takwimu, hazina, udom, nafika tu Benjamin nataka kupiga picha jamaa akaanza oya we jamaa fasta njoo hapa nani kakuruhusu kupiga picha kama vipi Leo hutoki humu ndani.

Kumbe pale getini kuna picha na kamera imewekewa marufuku kupiga picha. Eti nyie ndo mnachafua mitandaoni hospital hii. Ikabidi niombe msamaha. Nikaachiwa
Umezinguliwa ukaomba msamaha ukaachiwa ukatoka ndukiiii🏃‍♀️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom