- Thread starter
- #21
Kwa sababu wanapendana sana.
hahaaaaa ndibalema kumbe ukipendana sana na mtu unafanana nae!!! waoooo looh sasa
hahaaaaa hii pia kali. Vipi ukipendana na hausigeli wako?
mix with yours
Kwa sababu wanapendana sana.
nice couple jamani SIJAPATA ONA,mungu awabariki.