inaelekea wapo inlove sana......
yaani hawa wanaweza kuzaa, Bonge la Handsome Boy msiamini woooooote!
kama wanafanana vile!
yaani hawa wanaweza kuzaa, Bonge la Handsome Boy msiamini woooooote!
Kama watoto wa Dr. Remmy vile,...!wadinka kutoka kwa salva kiir hawa!!!
yaani hawa wanaweza kuzaa, Bonge la Handsome Boy msiamini woooooote!
Kweli kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu, nice couple
Kwa sababu wanapendana sana.kama wanafanana vile!