Nimewaleteeni zawadi

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,152
10,863
image001.jpg
 
Nani anapenda zawadi hii kutoka nyumbani nilikotokea juzi?.
 
Picture doctoring? kama sio basi, Haya ndio mafanikio ya "Kilimo Kwanza". Hongera Waziri wa Kilmo.
 
hii itakuwa kilimo pili inatakiwa ipelekwe kwenye guiness book of records..
 
hapoo ni sehemu ya matambikooo...khaaa!!kunavyungu vyungu palee.au kwa mgangaaa mbalamooooo
 
Hakuna mgomba wa aina hiyo hapa Tanganyika. Mgomba huo uko India na picha hiyo nimeshaiona mara nyingi
 
Hii kazi Ya wachina. Kama wanaweza kukuza Makalio na nakuongeza urefu wa " Ofisi za wanaume" (Mb.......o) sasa wameaamua kusaidia kufanikisha Kilmo Kwamza kwa kutrumia Elimu Kwanza
 
Hakuna mgomba wa aina hiyo hapa Tanganyika. Mgomba huo uko India na picha hiyo nimeshaiona mara nyingi
Hiyo ni zawadi ya kula.Ikiwa unajuwa inapotokea naomba wajulishe wale wanaopenda kupata kambu yake ili wakapande majumbani kwao kufanikisha kilimo kwanza.
 
Back
Top Bottom