Nimewaletea zawadi nzuri sana wana JF special for you guys from USA

Mmh ivyo vimi dole tu hapo ndo vinavyo nitishia na izo cjui nywele mmh vina niogopesha duh?
 
Katika pita pita zangu nilikuta na viatu vizuri sana ambavyo sijwahi kuviona tokea nizaliwe. Nikaamua kuvinunua kwa ajili yenu ili niwape kama zawadi maana kuna watu wengine humu ndani kama TANMO, Asprin na Kongosho hawajawahi kuvaa viatu tokea wazaliwe. Kama umeipenda zawadi yangu pls click like.

387338_237101246358698_100001764733457_574038_966450483_n.jpg

Uh haiwezekani kuvaliwa huku, maana miguu licha ya kuwa ni ya kizungu lakini pia imezeeka ile mbaya!!
 
Back
Top Bottom