Nimewaletea zawadi nzuri sana wana JF special for you guys from USA

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Katika pita pita zangu nilikuta na viatu vizuri sana ambavyo sijwahi kuviona tokea nizaliwe. Nikaamua kuvinunua kwa ajili yenu ili niwape kama zawadi maana kuna watu wengine humu ndani kama TANMO, Asprin na Kongosho hawajawahi kuvaa viatu tokea wazaliwe. Kama umeipenda zawadi yangu pls click like.

387338_237101246358698_100001764733457_574038_966450483_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
duuuhh, hivyo viatu vita wafaa wa dada wetu wanao jichubua maana wanasahau kuchubua miguu yao.
 
Back
Top Bottom