Nimewaletea zawadi nzuri sana wana JF special for you guys from USA

nahisi kama kitakua kina nuka vile.
Halafu hayo manyoa, hiyo rangi....

Wala hakinuki Mwali maana kimepuliziwa marashi yenye harufu nzuri kuliko zote duniani yanajulikana kama ushuzi.
 
Last edited by a moderator:
Mm,hii mpya,lakini kwanini mtu uvae kiatu cha namna hii.Obviously na wewe utakuwa na matatizo.
Katika pita pita zangu nilikuta na viatu vizuri sana ambavyo sijwahi kuviona tokea nizaliwe. Nikaamua kuvinunua kwa ajili yenu ili niwape kama zawadi maana kuna watu wengine humu ndani kama TANMO, Asprin na Kongosho hawajawahi kuvaa viatu tokea wazaliwe. Kama umeipenda zawadi yangu pls click like.

387338_237101246358698_100001764733457_574038_966450483_n.jpg
 
Kwani si ni kiatu kinasitiri miguu?? Halafu wewe inaonekana unaaangalia sana Cartoon hasa ile ya Bakugan. Au nimekosea Tikerra?
 
Last edited by a moderator:
Katika pita pita zangu nilikuta na viatu vizuri sana ambavyo sijwahi kuviona tokea nizaliwe. Nikaamua kuvinunua kwa ajili yenu ili niwape kama zawadi maana kuna watu wengine humu ndani kama TANMO, Asprin na Kongosho hawajawahi kuvaa viatu tokea wazaliwe. Kama umeipenda zawadi yangu pls click like.

387338_237101246358698_100001764733457_574038_966450483_n.jpg
"bange nibangue"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom