Nimeukwaa u-DC mwenzenu...Nipongezeni!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Jambo wanaJF,
Namshukuru Mwenyezi Mungu maana na mimi JK ameniona na kuamua kuniteua kuwa DC wa wilaya mojawapo katika huu uteuzi mpwa wa ma DC,
Hapa nilipo nalala night club nikijipongeza huku nikisubiria kwenda kuwatumikia waTZ...
Nawashukuru wote na naamini mtanisaidia kufikisha malengo ya JK
Pamoja sana JF!
 
Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu maana na mimi JK ameniona na kuamua kuniteua kuwa DC wa wilaya mojawapo katika huu uteuzi mpwa wa ma DC,

Hongera kwa uteuzi huo,

Hivyo Kama DC kazi zako has a ni zipo? Usiziseme zile za mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi, mwenyekiti wa kamati ya maendeleo, taja day to day duties.
 
Mwongo wewe, haumo !!! Haya sema kwenye orodha ya Ma-DC wewe ni namba ngapi.
 
sasa mnataka CV ya nini? aliyenipa kazi ndio nilimpa CV akaiona akaona inafaa ndio maana akaniteua...sasa wewe unataka Cv yangu kwani niko nakuomba kazi?
tupe cv yako kwanza ndo tukupongeze!
 
Pamoja na hizo ulizozitaja kazi zingine naenda kukabidhiwa rasmi pale dodoma tutakapohudhuria mafunzo maalum...kwa sasa sina la kujibu...si unajua kazi za kuteuliwa ndugu yangu?
Hongera kwa uteuzi huo,

Hivyo Kama DC kazi zako has a ni zipo? Usiziseme zile za mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi, mwenyekiti wa kamati ya maendeleo, taja day to day duties.
 
yaani kama ulikuwepo vile...hiyo ndio mission number one!...huyu jamaa hakawii kukwambia ametengua uteuzi....huwa hasomeki kabisa wakati mwingine.
Kamalizie kale ka mjengo kako pale kijijini fasta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom