nimeubutua mshipa(bu sha) wa chizi

magwanda mmoja wao ni huyu hapa:

http://3.bp.blogspot.com/_24ElP0syPEs/TNABqKFczaI/AAAAAAAABXs/e6EKRupBoiE/s400/Halima+Mdee+kamandaaaaaaaaaaaa.jpg[/I
Mie sina shughuli nayo hayo magwanda. Nalog off
 
Habari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na kuanza kutumwagia mchanga watu tuliokuwa tukisubiri usafiri,kwa kweli alituchafua na amani ilitoweka kwa watu kuanza kukimbia ovyo ovyo kwa kuhofia kumwagiwa michanga na yule chizi ,basi mie nikamvizia kwa nyuma yule chizi na nikaubutua ule mshipa wake kwa nguvu,yule chizi alikaa chini na kutulia mwenyewe,basi kwa kitendo changu kile wengine wakiniunga mkono wengine wakinikandia,je nimefanya makosa au nimepatia?Nalog off

Kituo gani hicho chenye machizi wenye Busha, Bagamoyo nini?
 
Amesha kumaki sura, kuanzia sasa ujue anakutafuta na mawe nakushauri uvue helmeti lako la matikiti na utafute la piki piki.
Usi log off.
 
Nafanya process ya kukufungulia kesi ya madai. Lazma machizi nao wawe treated kama machizi.
 
Duh huyu mdada nampenda kweli FF unaweza kusaidia namba yake simu tafadhali ?.

Halima+Mdee+kamandaaaaaaaaaaaa.jpg
 
Duh Washawasha mtata kweli vipi ile ishu ya c.hupi kesi na mke wako imeisha salama?.
 
haina tofauti na ile ya kwa mwizi kaingia jambaz
ndo sawa na yako mzee wa kulog off yaan
chizi alikutana na kichaa
 
Habari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na kuanza kutumwagia mchanga watu tuliokuwa tukisubiri usafiri,kwa kweli alituchafua na amani ilitoweka kwa watu kuanza kukimbia ovyo ovyo kwa kuhofia kumwagiwa michanga na yule chizi ,basi mie nikamvizia kwa nyuma yule chizi na nikaubutua ule mshipa wake kwa nguvu,yule chizi alikaa chini na kutulia mwenyewe,basi kwa kitendo changu kile wengine wakiniunga mkono wengine wakinikandia,je nimefanya makosa au nimepatia?Nalog off
washa washa hiyo kitu ni inauma balaa,umekosea sana,ukishindana na chizi we pia ni chizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom