nimeubutua mshipa(bu sha) wa chizi

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na kuanza kutumwagia mchanga watu tuliokuwa tukisubiri usafiri,kwa kweli alituchafua na amani ilitoweka kwa watu kuanza kukimbia ovyo ovyo kwa kuhofia kumwagiwa michanga na yule chizi ,basi mie nikamvizia kwa nyuma yule chizi na nikaubutua ule mshipa wake kwa nguvu,yule chizi alikaa chini na kutulia mwenyewe,basi kwa kitendo changu kile wengine wakiniunga mkono wengine wakinikandia,je nimefanya makosa au nimepatia?Nalog off
 
Maumivu yakiisha ataanza kupiga watu mawe, hiyo itakuwa mbaya zaidi!
 
Mshipa na kuwamwagia watu mchanga imehusianaje?

Hebu nifahamishe kidogo......
 
Mshipa na kuwamwagia watu mchanga imehusianaje?

Hebu nifahamishe kidogo......
Yeye kafanya kusudi kwa kutumwagia mchanga na mie nimefanya jeuri kwa kuubutua mshipa wake ili atulie. Nalog off
 
ulimwagiwa mchanga we ukapasua busha!!!!! mbona kosa haliendani na adhabu??? au ndo ulikua unalog in??
 
Polen sie kwetu leo tumeamka na mvua!
Shukuruni mlipata basi na kuondoka kabla maumivu hajamuishia!
Hukufanya vizuri coz ulishajua ni mgonjwa wa kichaa na still ukampiga sehemu ya tatizo!
Bora na ww ungekimia tu na kumwacha na matatizo yake!
 
Polen sie kwetu leo tumeamka na mvua!
Shukuruni mlipata basi na kuondoka kabla maumivu hajamuishia!
Hukufanya vizuri coz ulishajua ni mgonjwa wa kichaa na still ukampiga sehemu ya tatizo!
Bora na ww ungekimia tu na kumwacha na matatizo yake!
tunashukuru,nilishindwa kukimbia maana alianza kutumwagia sisi kwanza,ilibidi nirudi nyumbani kubadilisha nguo.nalog off
 
Ingekua vp ulivyombutua angedanja? Hauoni ungenunua Madam kesi tena kwa mtu ambaye hata haumfahamu?
 
Ingekua vp ulivyombutua angedanja? Hauoni ungenunua Madam kesi tena kwa mtu ambaye hata haumfahamu?
hasira ndugu yangu kutoka kwangu mpaka kituo cha basi ni mwendo wa dakika 15,halafu nilikuwa nimeulamba kinoma halafu yeye kaja kuharibu kila kitu.Nalog off
 
Nna uhakika wewe utakuwa magwanda maana wao ndio wana sera za kupigana badala ya kutumia siasa.
 
magwanda ndio nini? au unamaanisha sare za jeshi?Nalog off

magwanda mmoja wao ni huyu hapa:

Halima+Mdee+kamandaaaaaaaaaaaa.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom