Nimetumiwa SMS hii....

Nyetk

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,648
1,696
Ni kutoka kwa jamaa yangu mmoja, anauliza hivi:

Ivi ingekuwaje kama bao la tendo la ngono lingekuwa linatoa mlio kama wa bunduki? "Paaaa!" Nahisi tungekuwa viziwi dunia nzima kwa sababu usiku kelele za mabao tusingelala. Tena fikiria wale watu waliokaribu na "guest house" wangelala? YAANI INGEKUWA NI "PAAAA! PAAAA! PAAAA! PAAAA! MPAKA KUNAKUCHA!

Usiku mwema wadau.
 
Sasa bao la wapi........siku hizi watu wameendelea:Kuna la sehemu halali, tigo, mdomo n.k.

Mimi naona la tgo lingekuwa linalia kama mabomu ya gongolamboto
 
Sasa bao la wapi........siku hizi watu wameendelea:Kuna la sehemu halali, tigo, mdomo n.k. Mimi naona la tgo lingekuwa linalia kama mabomu ya gongolamboto

Hahahahahaaa! Hilo la tigo kuna baadhi ya miji (kama Tanga) ingeshakuwa magofu sababu ya mtikisiko.
 
Kuna mitaa hapa bongo wasingeishi watu: uwanja wa fisi, baadhi ya maeneo ya Sinza, .........
 
Kuna mitaa hapa bongo wasingeishi watu: uwanja wa fisi, baadhi ya maeneo ya Sinza, .........

Sehemu za baridi ya kupitiliza kama Njombe, Makete, nk. shughuli ingekuwa inasikika hadi huku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom