Nimetokewa na mauza uza kazini kwangu, naomba ushauri

Porojo.

Wakati yeye hayupo anamuwacha nani? anawacha biashara yake bila kuwepo mtu?

Habari za kufikirika au mleta mada ni "schizophrenic".

Duh wewe ni genius, yani prescription kidogo tu umeshaconclude kuwa ana tatizo hilo!! 🙊🙊🙊
 
Kuna kitu cja kujibu FAIZAFOXY huyo mtu amekujakuonekana mara mojatu na hakuna alie muona mwingine tofauti na huyo mteja alie kuja hyocku,lakni upotevu wa mahesabu ulikuwa tayari umesha onekana.Nahyo kitu imetokea baada ya kuwa nimeweka vitu fulani hapo kazni baada ya kuona upotevu umekuwa mkubwa ndo ikajitokeza hyo,japo bao cjaamini kama nilicho tengeneza pale ndo kimesababisha au kutokea hicho au la!

umesema kuna kitu uliweka, ulitengeneza pale dukani kwako weka wazi icho kitu na picha ikibidi JF ina wachawi wa kutosha watakushauri pale ulipobugi.
 
Ckuzote mfamaji haachi kutapatapa mkuu ni harakati za kujilinda.
 
Hujakosea kaka mimi mwenyewe mkristo ukweli nilijisahau katk mambo ya maombi na tangu nizaliwe sijaknyaga kanisani zaid ya mara 10.Nashukuru sana kwa ushauri wenu ndg zangu amen!

Aise kwa hiyo ulienda 1. Siku unabatizwa, 2. Siku ya Komunio 3. Siku ya Kipaimara 4. Siku ya ndoa 5.....6.....7....8...9...10..11 Siku ya kufa watapitisha jeneza lako pale!!! Aise amka ulipo uende kanisani. Kila kitu cha familia za kikristo kinaanzia katika jumuia kuanzia ubatizo wa watoto na mambo mengine. Ukifa kanisa halitakanyaga kwako kwa kuwa wewe ni mpagani.
 
Dawa ni rahisi nayo ni kuokoka. Kuokoka ni kutubu dhmbi kutoka moyoni na kumaanisha kuziacha dhambi hizo. Sasa fuatisha sala hii "Mungu Baba, mimi ni mwenye dhambi kwa kuzaliwa na kwa kutenda. Ninakuomba sasa unisamehe dhambi zangu zote na unipe uwezo wa kuzishinda. Asante kwa kuniokoa katika Jina la Yesu. Amen." Ukiifuaisha kwa makini na kumaanisha utakuwa umeokoka. Nenda kwenye duka lako ukaseme mananeo haya shetani wewe ni mwizI na umekuwa ukiniibia fedha zangu sasa malaika wa Bwana wako hapa wenye panga kali kuliko upanga uwao wote sogea uone watakavyokuchakaza katika Jina la Yesu. Ameen. Halafu eleza yatakayotokea.
 
Mkuu tafuta Dolahamsini nenda pale bwmkapa building Emmanuel tv office minus maji nenda mwaga ofisinikwako

Mwambie. Mungu kamayakaukavyo majihaya na hilojinamiizi likaukemilele
 
Kesho nenda na biblia iweke hapo dukani asubuhi, sali kumuomba Mungu pia kupitia biblia hiyo afunike duka lako na damu ya bwana yesu na roho mtakatifu awe nawe na hapo dukani;

Imani ni kitu muhimu sana katika sala, unaweza sali au saliwa bila imani ya kuwa ndio yamekuwa uliyoomba na kusubiri Mungu akuonyeshe nguvu zake itakuwa kazi bure.

Ndio maana nakushauri amkia na biblia na imani kuwa inakuondolea matatizo hapo dukani na pia fata hayo ya kusaliwa, mafuta ya upako etc.

Mungu awe nawe.
 
hapo mwite kakobe akishirikiana na rwakatare wamvunjevunje huyo jini, wamwagie damu ya yesu, kisha wampeleke kuzimu hutakuja kumsikia tena
 
Dawa ni rahisi nayo ni kuokoka. Kuokoka ni kutubu dhmbi kutoka moyoni na kumaanisha kuziacha dhambi hizo. Sasa fuatisha sala hii "Mungu Baba, mimi ni mwenye dhambi kwa kuzaliwa na kwa kutenda. Ninakuomba sasa unisamehe dhambi zangu zote na unipe uwezo wa kuzishinda. Asante kwa kuniokoa katika Jina la Yesu. Amen." Ukiifuaisha kwa makini na kumaanisha utakuwa umeokoka. Nenda kwenye duka lako ukaseme mananeo haya shetani wewe ni mwizI na umekuwa ukiniibia fedha zangu sasa malaika wa Bwana wako hapa wenye panga kali kuliko upanga uwao wote sogea uone watakavyokuchakaza katika Jina la Yesu. Ameen. Halafu eleza yatakayotokea.

Poa bwana nashukuru kwa sala yako mkuu nina imani tutashinda.
 
hapo mwite kakobe akishirikiana na rwakatare wamvunjevunje huyo jini, wamwagie damu ya yesu, kisha wampeleke kuzimu hutakuja kumsikia tena

Mkuu kakobe c ndo atataka minoti mingi! at nibure? hebu nipe ukweli.
 
Kesho nenda na biblia iweke hapo dukani asubuhi, sali kumuomba Mungu pia kupitia biblia hiyo afunike duka lako na damu ya bwana yesu na roho mtakatifu awe nawe na hapo dukani;

Imani ni kitu muhimu sana katika sala, unaweza sali au saliwa bila imani ya kuwa ndio yamekuwa uliyoomba na kusubiri Mungu akuonyeshe nguvu zake itakuwa kazi bure.

Ndio maana nakushauri amkia na biblia na imani kuwa inakuondolea matatizo hapo dukani na pia fata hayo ya kusaliwa, mafuta ya upako etc.

Mungu awe nawe.

Nawe pia ubarikiwe mkuu kwa ushauri wako mzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom