Nimetokewa na mauza uza kazini kwangu, naomba ushauri

Utanielewa duka langu siyo kibanda ni frem au chumba,na cku imejitokeza hyo!huyo mteja hakuwa na hela kwenye account yake ya airtel hivyo baada ya huyo mtu au dada kujaribu huku akiwa amekaa dukani mwangu ndo ikawa imeshindikana

Mtu hana pesa kwenye akaunti anaenda ofisi ya mpesa/airtel money kufanya nini???
 
duu mkuuu kuna mtu anataka cheo chako..kuna mfanyakazi mwenzako upo nae ofisi moja anataka kukutoa duniani .usipokuwa makini utaiaga dunia cha umuhimu wahi kwenye maombi ..fasta.....haya mambo yapo sana ofisi
za serikali ...tena hasa hasa
1.tra
2.bandarini
3.uhamiaji
4.ofisi za bunge...
5.wizara ya nishati na madini
6.udsm....

usiwe unakurupuka, nani anayetaka cheo chake dukani kwake? tabia mbaya kuliko zote ni tabia ya kulazimsha majibu ktk swali lisilohisika
 
Tiba ya mauza uzani ni kukemea Kwa Jina la Yesu hata dakika Tatu hazipiti yatakimbia maana moto huo hauvumiliki kwa ibilisi na majini(mapepo

Bas ahsante had sasa niko kwenye maombi
 
kabla hujafanya lolote, nenda muhimbili kitengo cha magonjwa ya akili.
 
2. sina chuki na watutsi na sijawahi kuwa nazo. Ukichukia magaidi unachukia waislamu? ukichukia alshabab unachukia wasomali? nadhani jibu umeshapata.
).

Nitakujibu namba mbili tu maana ndio inayohusiana na shutuma zangu..
Umesema huna Chuki na watutsi wakati huo huo unachukia alshabaab..Ukristo na Chuki wapi na wapi mkuu?
 
Mkuu siwez kubishana na wewe hayo mambo yapo na wewe hukua na strong foundation na Mungu kanisan huendi kusali hausali na ndo maana imekua hvyo,jenga uhusiano na Mungu funika eneo lako lote kwa damu ya Yesu kila unapoingia na kutoka.Mchungaji atakuombea ila vita ni ya kwako wewe jifunze kupambana it wont last long trust me hakuna kinachoshindikana ukiomba kupitia jina la YESU
 
Waagize wateja wako, wakimuona wampige picha, halafu weka picha yake humu tukushauri.
 
kuna tetesi ukitumia huyu mjamaa anaweza kukusaidia hasa mifupa yake ikibakia hapo ndani,

kitiz.jpg
 
duu mkuuu kuna mtu anataka cheo chako..kuna mfanyakazi mwenzako upo nae ofisi moja anataka kukutoa duniani .usipokuwa makini utaiaga dunia cha umuhimu wahi kwenye maombi ..fasta.....haya mambo yapo sana ofisi
za serikali ...tena hasa hasa
1.tra
2.bandarini
3.uhamiaji
4.ofisi za bunge...
5.wizara ya nishati na madini
6.udsm....
yeye kaongelea kwenye biashara yake binafsi we unaleta habari ya mtu kumtoa kwenye ofs au mm ndo sijaelewa!!
 
Nitakujibu namba mbili tu maana ndio inayohusiana na shutuma zangu..
Umesema huna Chuki na watutsi wakati huo huo unachukia alshabaab..Ukristo na Chuki wapi na wapi mkuu?

Mungu anachukia watenda maovu (soma zaburi)...lakini hapo hapo anawapenda enough kuwapa yesu yule yule aliyenipa mimi. Ni concept rahisi sana ila inachanganya.
 
Umeona ee, inawezekana kuna mdokozi wa hela na yeye ameshapumbuzwa na huyu mwanamke alikuwa amevalia red kilemba. :photo: ananchekesha
Porojo.

Wakati yeye hayupo anamuwacha nani? anawacha biashara yake bila kuwepo mtu?

Habari za kufikirika au mleta mada ni "schizophrenic".
 
Ile dawa ya utajili uliyopewa na mganga kutoka bagamoyo ulikosea masharti yake, hayo ndo mrejesho wake.
 
Ita watu waje hapo kwenye biashara yako kwa maombi maalum
Pia usiache kutoa sadaka,
Ni hayo tu
 
Hayo Mambo Kiboko Yake Yesu Tu, Kwa Nyongeza, Yawezekana We Binafs Umeweka Vitv Toka Kwa Waganga Kwa Ajil Ya Kuwavuta Wateja, Ondoa Uchafu Huo Kwanza, Weka Biblia, Then Tafuta Maji Ya Baraka Nyunyizia Duka Lako, Omba Kwa Kuzama We Mwenyewe, Yatakimbia Tu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom