Nimetoa machozi leo;ukija kwako ufanyie kazi pls

Pole sana kwa kufiwa na jirani yako mpendwa. Ili somo hapo likae vizuri aitwe huyo "mtumishi wa Mungu" aje amwombee afufuke ili watu waamini kweli ametumwa. Yesu na Mitume wengine wengi waliwezeshwa kufufua wafu..vinginevyo tutaamini kifo chake kilisababishwa na kisukari na pressure kupanda baada ya kukasirishwa.
 
Saa nyingine kuna vibaka na matapeli wanaokuja kwa njia hii, huyo mzee alikuwa sahihi kwa sababu huwezi jua labda alishatapeliwa hapo mwanzo. Nakumbuka sister wangu pia alimkaribishaga baba mmoja aliyekuja kama huyo kijana. Wakasali na huyo baba, baada ya sala kwisha jamaa akamwambia sister kuwa anatakiwa kutoa sadaka ya mbuzi dume au pesa taslimu ikiwa ni gharama za maombezi. Sister akamwambia sina, hadi leo ni mwaka wa tatu bado anadaiwa mbuzi wa sadaka na huyo baba mwombaji.

Ishu hapa ni je utajuaje kuwa anaepiga hodi kwako ni tapeli au malaika??
 
Bwana asifiwe sana. Mungu hafurahishwi na kifo cha mtu muovu, ndo maana alimtuma yule nabii kwenye ile nyumba ili mheshimiwa atengeneze njia zake, aokoke, lakini akakaidi. Leo bila shaka anatamani angeusikiliza ule ujumbe wa kinabii.
 
Imeandikwa heri wafu wafao katika Bwana baada ya tabu na dhiki nyingi wanaenda kupumzika, inawezekana siku hiyo huyo Mzee wokovu ulikuwa unakuja kwake akaamua kupotezea, lakini hii ni habari njema kwa walioshuhudia hili tukio na wale tunaolisoma hapa, kila mmoja ajiulize mapito yake yanaelekea MBINGUNI au MOTONI
 
pdidy ntakuwa tumeonana msibani ila basi tu sikujui kwa sura(kama ulikuja)......nimesimuliwa nikashangaa
 
Jamani tujue kwamba - mungu hutuma malaika au hutumia watu sehemu mbali mbali - tusishangae malaika akatumwa hapa jmii forum - tuwe makini na kila tukio/maneno/ushauri tunaokutana navyo maishani. Kwa kweli topic hiii ni very educative. Asante sana - tunawaeleza na wengine mkasa huu.
 
pdidy ni kweli?aisee unajua mambo mengine sio ya kudharau hata kidogo,kwa sababu ukikubali hakuna kitakachopungua kwako
dear nimetoka kuzika jjirani yangu hata hamu sina jamani.nimeomba off tu nikijiuliza niwekeje maisha yangu niweze kuona ufalme wa Mbinguni
 
Pole sana kwa kufiwa na jirani yako mpendwa. Ili somo hapo likae vizuri aitwe huyo "mtumishi wa Mungu" aje amwombee afufuke ili watu waamini kweli ametumwa. Yesu na Mitume wengine wengi waliwezeshwa kufufua wafu..vinginevyo tutaamini kifo chake kilisababishwa na kisukari na pressure kupanda baada ya kukasirishwa.

mkuu aijalishi amekufa na nini na hio si mada maalum tunajiuliza mzee wetu alitubu kabla ya kufa na kama sio je yuko wapi roho yake hivi sasa
baibo iko wazi baada ya kifo hukumu ukisubiri kutubu umechimbiwa kinondoni hizo imani zitabaki kwa ndugu zako tu tena kwa kuwa awakuoni wangekuona wangekupa live baada ya kifo hukumu....
Mungu awafungulie mlango wa kutokea wafiwa wa familia waweze kumjua Mungu nakuoona ufalme wa Mbinguni,,wakiwemo sisi Jf members jamani nawaambia ukweli akuna raha kama tukifika mbinguni na sie tukaanzisha jf yetu kule ..mbaya ni pale unapoenda mbinguni ukijua pk ama sweetbaby lovley br n sis wanachomwa moto..ndio maana tunaataarifiana mapema wapendwa turekebishe muda wa kutubu upo jamani na Mungu ni mkubwa anarehemu pale unapomwomba msamaha..mbaya zaidi hawa ndgu zetu wa damu sio wa maana sana kama awajampokea yesu maana hao utaishia kujuana nao hapa kama waspofika huko ndugu zako ni wale walokole uliokuwa ukiwasema na kuwadharau je ndugu bora ni yupi??
Mungu atubariki
 
saa nyingine kuna vibaka na matapeli wanaokuja kwa njia hii, huyo mzee alikuwa sahihi kwa sababu huwezi jua labda alishatapeliwa hapo mwanzo. Nakumbuka sister wangu pia alimkaribishaga baba mmoja aliyekuja kama huyo kijana. Wakasali na huyo baba, baada ya sala kwisha jamaa akamwambia sister kuwa anatakiwa kutoa sadaka ya mbuzi dume au pesa taslimu ikiwa ni gharama za maombezi. Sister akamwambia sina, hadi leo ni mwaka wa tatu bado anadaiwa mbuzi wa sadaka na huyo baba mwombaji.

Ishu hapa ni je utajuaje kuwa anaepiga hodi kwako ni tapeli au malaika??

mkuu leornado
ukisimama na mungu nakuhakikishia hata aje jini utamwona na utajua silaha gani za kumfukuza kilichofanyika hapo mpaka dada akaruhu su lango ni ukaribu wake na mungu,samahni najaribu kuja kwenye somo la malango tunatakiwa kujua malango ni yapi ;kila familia ina malango yake na ndio maana ndoa nyingi wanaishia kuhonga majaji na mahakimu ili zivunjwe haraka lakini ukija angalia huko nyuma babu wa mama na baba waliachana hivi hivi so unachotakiwa kufanya ni kufanya mapping kwenye familia yako na yule mtarajiwa hata baada ya kuoana lakini kabla ya kuwa pamoja inapendeza unasali mamombi ya kufukza mbwa mwitu mpaka kisasi cha ukoo chenu kinaondoka else unaishia kutoa talaka,,,sasa haya malango muhimu saana kujua jinsi ya kufaiti nayo...huyu baba alikuwa na wakati mzuri ni mzazi wangu amenisaidia sana lakini nimeumia si kwamba sitoonana nae tena bali ninapoenda mimi yawezekana sitomwona tena ...mungu atupe macho ya rohoni ukiwa nna mungu simamanae swafiiiiiiiii hata aje sheemeji yako anaishia na aibu nikupe mfano mmoja

shemeji yangu alipoona nimeoa akaja dar akidaikutafuta kazi .ni mke wa kakangu uande wa mamamdogo...akaomba kukaa kwetu sikuwahi kuona mke wangu akifukuza ndugu yangu hii ni baada ya siku ya pili ..tu ilinichukua muda akadai namwona sio mtu mzuri nikamkatalia na kumwambia umemwonaje..nikiwa nimeenda kazini akamfwata na kumwambia ni vyema akakae kwa wazazi wetu...sisi tunaitaji privacy baada ya ndoa..niliporudi akaondoka baada ya siku 6 ..ilichukua mwezi nazani wanaozoma za didy ingawa naandika swanglish walishakutana nayo..mke wangu akaamua kupga pasi sikuhiyo nguzo zote alipofungua vitenge vyake vikawa pungufu na baada ya hapoa akajiuliza nani kachukua..hiyo aikuwa tatizo alipoendelea kupasi akakuta khanga 6 zimekatwa pembe tatu kila kona ...aliruka na kupiga sim nkamwambia nakuja tuzi annoint mafuta tupige sala ya back to sender usioogope...baadaa ya mwezi akawa ananipigia anataka kuja mara kammiss hboy wetu mcheshi nikamwambia no ..mpigie..nikiwa najiuliza nilimchukua yule hboyy sikumoja afrikasana akashangaa sana akaagiza castle
ilimchukua castle ya tatu akaanza kutoa machozi anadai unajua kaka m nakupenda sana ...,mmmmmhh nikashtuka watu wakaanza kuangalia..nikamwambia umelewa la akuna nakupenda sana nataka nikwambie kitu usiseeme kwa mama..nkampa poa

akadai tukiwa atupo yule binti alimuuliza ati hapa waganga wako wapi karibu akamuuliza wa nini akadai unajua didy alikuwa akitusaidia sana kabla ya kuoa tangu aoe ata simu zetu apokei kabisa..niliruka kama mmasai nikamwambia wat??
Akadai ameenda mwananyamala akambiwa apeleke vipande vya khanga vya mke wangu amshugulikie ameona yeye ndio anamzuia kusaidiwa.....nilirudi tukaanza maombi ya back to sender nakwambia yule binti anasota na dar ata kwa mumewe arudi tena unajua maana ya kuchoka..nikaa kimya sana yule kijana akamwaga radhi kwa wife..so nakukumbusha ukiwa na mungu na kusimama nae vizuri sio ukristo wa kuhudhuria kanisan utoe sadaka ununue kuku kwenye siku ya mavun lakimoja ni kusimama na mungu kweli na si jina nakwambia asogei mtu.....khanga tunazivaa mpka leo tena namwambiaga mke wangu embu zile kanga zinazomtesa mtu nikivaa ninayasemea maneno huko moto unamuwakia...

Mwambie sis akae na god vizuri ata shine mbaya huyo mbuzi atodaiwa tenaaaaaaaaa
 
Mungu hapendi hata roho moja kupotea. Inasikitisha sana kuona mambo yalivyokuwa. Hopefully hapa katikati ya wiki ameweza kusawazisha mambo. RIP...
 
IN+H6VsmmjH8DCZmeVVVtZgUAAAAASUVORK5CYII=
images.jpg be aware.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom