nimesikitishwa sana

Mhh haya mengine tena
Napendekeza sheria iwe hivi

Mtoto wa umri chini ya miaka 18 hawezi kuridhia tendo la ngono au kukeketwa na adhabu inayotolewa kwa wanaume/Ngariba wanaokiuka sheria hii ni kifungo cha maisha au kifungo kisichopungua miaka 30 jela

Umependekeza haijapitishwa sawa Kimbweka???
 
Msitushambulie hivo kwamba tunachinjana mara wakatili mbona watu wanachinjana mikoa yote hapa Tanzania ama mmekariri Mara tuuu, acheni hizo za kienyeji, tuongelee issue hapa ambayo ni ukeketaji haufai sio kuruka ruka hapa ohh makatili,wanachinja,ndo nini sasa!!!

Hata majuzi Tanga mtu kaua mkewe na wala sio mkurya nyie mmekariri mambo ya kienyeji kushambulia wakurya mana mmeshapewa sumu na media za CCM...wakurya sio wakatili ila hawapendi unafiki na majungu of which watz wengi ndio kazi mnapenda hiyo ndio mana mnasema sisi katili.
 
Duh Somoche we kweli mkurya uhoireeeeeeeeeee. Hatuwashambulii ni ukweli nyie panga/visu mbele ukubali usikubali
 
Msitushambulie hivo kwamba tunachinjana mara wakatili mbona watu wanachinjana mikoa yote hapa Tanzania ama mmekariri Mara tuuu, acheni hizo za kienyeji, tuongelee issue hapa ambayo ni ukeketaji haufai sio kuruka ruka hapa ohh makatili,wanachinja,ndo nini sasa!!!

Hata majuzi Tanga mtu kaua mkewe na wala sio mkurya nyie mmekariri mambo ya kienyeji kushambulia wakurya mana mmeshapewa sumu na media za CCM...wakurya sio wakatili ila hawapendi unafiki na majungu of which watz wengi ndio kazi mnapenda hiyo ndio mana mnasema sisi katili.
baelelezeee mura!
 
Mkuu wamevunja sheria gani.
Sidhani kama kuna sheria hapa!
Sheria hii hapa WAKUU

Sheria inatamka kwamba mtu yeyote anayemshikilia, au kumtunza msichana aliye chini ya miaka 18 na ambaye amesababisha akeketwe anatenda kosa la kikatili kwa watoto. Adhabu kwa kosa la aina hiyo ni kifungo cha hadi miaka 15 na/au faini ya shilingi za Tanzania 300,000 ($ 220).

RIPOTI YA 2009 YA HAKI ZA BINADAMU: TANZANIA
[FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]OFISI YA DEMOKRASIA, HAKI ZA BINADAMU NA KAZI. [/FONT]
[FONT=Times New Roman,Times New Roman]Ripoti ya Nchi kuhusu Mwenendo wa Haki za Binadamu [/FONT]
[FONT=Times New Roman,Times New Roman]Machi 11, 2010. [/FONT]
[/FONT]
Kulingana na data za 2005, Wizara ya Afya ilikisia kwamba asilimia 5 hadi 15 ya wanawake na wasichana walikeketwa; umri wao wa wastani ulikuwa chini ya miaka 10 na iliripotiwa kuwa idadi ilijumuisha watoto wachanga waliozaliwa. Ukeketaji ulifanywa na takribani makabila 20 kati ya 130 ya nchini na hasa katika mikoa ya bara ya Arusha, Singida, Kilimanjaro, Morogoro, na Dar es Salaam. Katika maeneo mengine nchini, asilimia isiyopungua 5 ya watu walifanya vitendo vya ukeketaji. Ukataji kinembe, aina ambayo sio mbaya sana ya ukeketaji, ilifanywa mara kwa mara; hata hivyo, kushonwa ili kuzuia kujamiiana, aina ambayo ni mbaya sana, ilifanyika pia, hasa katika nyanda za juu za Kaskazini na kanda ya kati.
Mwezi Juni 2008 iliripotiwa kuwa watoto wachanga chini ya umri wa mwaka mmoja katika kijiji cha Makiungu, Mkoani Singida, walikeketwa na mama zao, tofuati na ilivyokuwa hapo mwanzo ambapo kitendo hicho kilifanywa na waganga wa jadi wanaoitwa ngariba. AFNET, AISE inayoshughulikia haki za wanawake, iliripoti kwamba watoto wachanga na wasichana 47 kati ya 59 wenye umri wa hadi miaka mitano ambao walifika kwenye zahanati ya kijiji katika mkoa wa Singida walikuwa wamekeketwa.
Hakukuwepo na mashtaka yaliyohusiana na vitendo vya utekeketaji katika mwaka huo. Ilikuwa vigumu kutekeleza sheria ya ukeketaji kutokana na sababu kadhaa: Maofisa wengi wa polisi na jamii hawakufahamu sheria hiyo, waathirika walisita kutoa ushahidi, na mashahidi wengine walihofia ulipizaji kisasi kutoka kwa watu wanaounga mkono ukeketaji. Aidha, kipengee kingine kilikuwa ni rushwa; wanavijiji wengine waliripotiwa kuwa walitoa rushwa kwa viongozi wao wasitekeleze sheria ili waendeleze ukeketaji wa binti zao.
 
Inabidi waelimishwe sana na watafutiwe alternative ya kufyeka ki.......be ikiwa ni pamoja na kuhamisha dini zilizo zagaa Mbeya zifungue branch zao kule Mara. Nguvu na Mabavu hazitasaidia kwa kuwa asili yake ni kule kule kwa kwamba ni sehemu ya michezo yao.
 
Msituseme kwa mabaya tu muulize Makamba anajua moto wetu alileta Bil 1 ikalambwa mbona hamtusifu kwa kuwa kitovu cha mabadiliko?!! we are proud of our tribe, we love Region.hatuna shaka na propaganda za kizamani eti kuryan are radical!! kwa upande mwingine ndio lakini sio wote. now days tumesoma sana tu tena and we are going to change ila sio kwa kebehi na kejeli za namna hii.

@ preta nitakutafta nikutongoze upate raha ya mwanaume wa Mara..utakua wa kwanza kutusaidia kukataa tohara mana mnalaumu tuuu, toeni soln what should be done to abolish women circumcision in Mara na sio Mara tu nendeni Singida,Arusha na Dodoma wote wanatairi kimya kimya lakini Mara CCM inatuchafua kwamba sisi ni wakorofi na nyie mnaunga mkono hilo!!!

Wakurya ni watu wazuri sana,wasiopenda unafiki,fitna wala majungu, na ndio maana tunajua sana kupenda na kutunza uzuri familia zetu mengine ni ya magazeti tu...wadada tafteni wanaume wa kikurya mta enjoy sana.
 
Kama ni swala la haki za binadamu,si zinasema mtu awe huru kufanya analota alimradi haingilii uhuru wa mtu mwingine? Basi tuwaache wanaohiari kukeketwa wakeketwe,wana uhuru wao iwapo wako over 18,na kama ni under 18,sheria inasema wako chini ya uangalizi wa walezi/wazazi wao,kwa maana kwamba watakachorithia walezi/wazazi wao ndicho kinastand kwa niaba ya mtoto.Wanaume wanafanyiwa modification kwa kutahiriwa,hilo mwaona sawa,akifanyiwa modification mwanamke,kosa.Hii si haki.wapeni watu uhuru kuamua maisha yao ya kijinsia kama ambavyo ushoga,usagaji ulivyo halalishwa maeneo mengi duniani.Wazee wetu si wajinga kiasi hicho kama mnavyofikiria,walipoweka ukeketwaji vibinti walikua na maana nzuri tu na zenye mashiko kiafya,kimaadili.Au kwa sababu wazungu hawafanyi hivyo,mnaiga kama kawaidayenu.Mila na desturi zetu za kiafrica zinaharibiwa na tamaduni za kimaghalibi.Maghalibi wakisema ushoga ni sawa,na Tz mtahalalisha,huu ni ukoloni na tutatawaliwa milele.By the way,si wanaume wote wanapenda waliokeketwa,hawa hamuwanyimi haki?
 
oooh my goodness,walikuwa na maana gani kiafya na kimaadili ambazo makabila mengine na the rest of the world wasizione???
nyie wakurya ni wabishi kweli,hata mkipata testimony ya mwanamke aliyekeketwa.....bado mtatetea ujinga wenu...sijui mkoje?:embarrassed::embarrassed:
 
jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana

ulichukua hatua gani kama mpenda maendeleo ?
Au ulifyata mkia na kuja kulalamika hapa?
Atleast uandike mada gazetini wakubwa au wahusika wataipata,au ungeripoti polisi!

Ila kama huja fanya chochote unakuja kulalamika hapa haisaidii kitu bora kukaa kimya tu
 
oooh my goodness,walikuwa na maana gani kiafya na kimaadili ambazo makabila mengine na the rest of the world wasizione???
nyie wakurya ni wabishi kweli,hata mkipata testimony ya mwanamke aliyekeketwa.....bado mtatetea ujinga wenu...sijui mkoje?:embarrassed::embarrassed:

generalization of tacts is stupidity
 
mkoa wa mara
jamani oneni aibu
kwa nini mnawakeketa wakina bhoke, obhari, nyanswi, n.k.
Embu ondokaneni na mila zisizokuwa na faida

so,unadhani kelele za vidole vyako kwenye computer zimefika tarime?
Chukua hatua na uache unafiki wa kutataa kinyesi huku umekikalia
 
so,unadhani kelele za vidole vyako kwenye computer zimefika tarime?
Chukua hatua na uache unafiki wa kutataa kinyesi huku umekikalia

na wewe umechukua????au ndio unaishia kupoint finger tu?:embarrassed:
 
ulichukua hatua gani kama mpenda maendeleo ?
Au ulifyata mkia na kuja kulalamika hapa?
Atleast uandike mada gazetini wakubwa au wahusika wataipata,au ungeripoti polisi!

Ila kama huja fanya chochote unakuja kulalamika hapa haisaidii kitu bora kukaa kimya tu

siyo mwandishi wa habari
Wala sina fani hiyo
Ila kwa kuwa hapa kuna wengi naamini litatoka na huko
 
so,unadhani kelele za vidole vyako kwenye computer zimefika tarime?
Chukua hatua na uache unafiki wa kutataa kinyesi huku umekikalia
hii ni moja ya hatua
hakuna unfiki hapa
mjirekebishe mura
tena nipo tarime
 
Back
Top Bottom