Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
Wana JF.

Nimesikiliza kipindi cha jahazi cha clouds fm ambapo leo topic ilikuwa inahusu hotuba ya mbunge joshua nasari. Kilichonisikitisha sana ni kauli ya kibonde kuhusu nasari. Kibonde ameonekana kama kesha muhukumu nasari na anachoamini kwake ni kwamba nasari haweyi kupewa nafasi yoyote ya kusikiliywa kwasababu ya kauli yake.

Kibonde anasema na kusisitiza kwamba anayepaswa kupewa nafasi ya kuelezea jambo hili ni mwanasheria tu na nasari hana haja ya kupewa nafasi japo watangazaji wenzake wamejaribu kumsisitiza kwamba kuna haja ya kumsikiliza nasari naye lkn kibonde anaonekana tayari ana majibu ya kitu gani kifanyike kuhusu nasari.

Na hapo ndipo ninapokosa logic ya kwanini wanamwita mwanasheria redioni wkt kibonde tayari ana majibu.

Je ni ufafanuzi upi zaidi anaohitaji kutoka kwa mwanasheria?

Je ni mara ngapi tumewahi kusikia kauli kama hizi ktk tanzania? Je kuna haja ya kutoa hukumu kabla ya muda?

Nawasilisha.
Telo.
 
Naminimemskia naomba kufahanu katika kampeni za Arumeru kina hata suku moja walimlusha kama mgombea? Na kauli za lusinde walisga hata play katika kipindi chake cha jahazi?
 
Hivi Jamani hata hivyo, kuna tatizo gani mtu kutoa kauli ya kujitenga. Nahisi Kama Mbowe ndio alikurupuka kumuambia Nasari ametoa kauli ya kitoto.

Kama wazinzibar wanazungumzia kujitenga, kwa nini sehemu nyingine za Tanzania zisizungumzie kujitenga? Huyu Kijana anahoja ya msingi na watanzania tunapaswa kuitafakari inaweza ikawa ni the best option for us, especially kama Matakwa ya Wananchi kwenye mchakato wa Katiba na Uchaguzi wa 2015 hayataheshimiwa.

Utawala wa nchi hii chini ya Uongozi wa CCM umeshindwa kuwaletea watanzania tija katika umoja wao, Hata wazanzibar wanapopiga kelele za kutaka kujitenga ni kwa sababu wanaona kwamba Muundo wa Serikali ya Muungani hauwaletei tija,
Hivyo kama sehemu yoyote ile ya Tanzania inaona inaweza ikasimama yenyewe nje ya Ushenzi unaofanyika ndani ya Jamuhuri nawashauri waendelee kufikiria kujitenga.
 
Kibonde nadhani alikuwa anautafuta ukuu wa wilaya hawajampa lakini hajakata tamaa. Niwe mkweli namchukia sana
 
salam put this idiot in his place kwenye kipindi cha mkasi,alimuuliza wewe ni ccm?mijicho ikamtoka kwa kigugumizi akajibu hapana
 
Kibonde ni gamba la kichovu na ndiyo linajipenyeza kwenye issue ya Mh:saaaaana. Akiibuka kitaa 0718yake inapigwa mgawo.
 
Sasa nimeamini Nasari ni kiboko yao, hizi kelele zote tunazopiga humu je wameru wenyewe mnafikiri wanalionaje? kama watu wanakufa, ardhi inachukuliwa, na kumbukeni walishawahi hata kwenda UN enzi hizo kudai uhuru wa Meru, sasa mnashangaa nini?
 
Looh..kazi kweli kweli.. Mimi sikusikiliza hicho kipindi. Hawa ndo Watangazaji wetu!!. nadhani kwa ufahamu wangu wanahabari wote wanatakiwa kuripoti matukio bila kushabikia upande wowote kisiasa, kijamii na kadhalika. Hii ina maana kama kuna pande zinazotoa maelezo mkinzano mwana habari anatakiwa kuripoti kauli ya kila upande ( bila kuelezea hisia au msimamo wake- balanced and unbiased reporting ) ndo maana ya demokrasia na vyombo vya habari vinginevyo vyombo vya habari /wanahabari vitakuwa vinahuku watu..kazi ambayo si yao na watanzania watashindwa kufanya maamuzi yanyotokana na taarifa hizo. Kama alifanya hivyo basi anatakiwa "aende akaombe kazi ya uhakimu kata ya kawe".. na Clouds wanatakiwa wampe karipio kali kwa kuelezea hisia zake badala ya kuripoti matukio!!!!!
 
Back
Top Bottom