Nimeshindwana na G6, na nimehamia X man G8 nakula raha!

Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
3,545
4,543
Baada ya hangaiko la G6 kupoteza Channel, Sasa nimehamia X man G8. Maisha ni matamu sana huku, karibuni sana!
 
Package yote ya xman g8 , jumla ni tsh ngapi inatakiwa. Na zinapatikana wapi
 
Kama unadhani Dstv ndio salama sana, pitia ukurasa wao wa facebook! Labda huenda ukabadilika.
Tokea nimefunga dstv sijawahi kupata hiyo mitatizo ya qsat g6 g8 Mara server down niliamua kuyatupa natumia dstv ipo stable Kama Debian
 
Haya makampuni ya kizungu yanatakiwa tuyatumie kikamilifu kama wanavyo tukomba kila kukicha ...
 
subiri na hiyo xman yako itakapoota mbawa! Wenyewe wanakucheki tu unavyojisifia kwani hata g6 imeuawa na ilikuwa most stable
 
Kwa wale wa AZSKY G6 kama unataka kuifufua kwa CCCAM check footer yangu bei ya miezi mitatu 70,000/=
Utaitaji USB WiFi adapter iwapo unataka kuitumia kwa WiFi...

Kama hauna acess na wifi ya laptop au smartphone au router basi Install Latest AZSKY G6 S/W inayo support HUAWEI MODEM
Ndani ya miezi mitatu Azsky watakua wamerejesha huduma...
Check footer/signature yangu kwa maelezo zaidi
 
Kwa wale wa AZSKY
G6 kama unataka kuifufua kwa CCCAM check footer yangu bei ya miezi
mitatu 70,000/=
Utaitaji USB WiFi adapter iwapo unataka kuitumia kwa WiFi...

Kama hauna acess na wifi ya laptop au smartphone au router basi Install
Latest AZSKY G6 S/W inayo support HUAWEI MODEM
Ndani ya miezi mitatu Azsky watakua wamerejesha huduma...
Check footer/signature yangu kwa maelezo zaidi

vp net ya edge/2g inasapoti?
 
Sitaki kusikia huu upuuzi wa wachina
yaani ni full karaha na maudhi. mara sever down baada ya miezi halifanyi kazi unanunua lingine
walivyo washenzi watengenezaji ni walewale.wanabadili jina tu
 
Back
Top Bottom