Nimeshindwa kumtabiri

Wewe bwana unaonekana una majivuno ndo maana huyo msichana wako hataki kujihusisha na mambo yako kivile.
 
Jamani wanaume hamkosi neno
ukiwa mpole shida
ukiwa mchonga domo ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hebu m2ambie kipi bora kwenu ili tujue.........maana lo..l?
 
Wewe bwana unaonekana una majivuno ndo maana huyo msichana wako hataki kujihusisha na mambo yako kivile.
nini maana ya majivuno..... nafikiri nisingemweka huru kwa mambo yangu basi tu kama ilivyosemwa na wadau hii ndo tabia yake na taratibu nitambadili ajue naitaji nini... pia nafikiri asingeweza kuwa na mimi kama tatizo lingekuwa kwangu
 
kuna rafiki yangu nae alikuwa na msichana kama huyo wako akawa anamuona hafai. kahangaika weee mwishoni karudi pale pale. kashatoa mahari tunasubiri kula ubwabwa.
 
Jamani wanaume hamkosi neno
ukiwa mpole shida
ukiwa mchonga domo ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hebu m2ambie kipi bora kwenu ili tujue.........maana lo..l?
Dear tatizo siyo ukimya wala upole tatizo ni kutoa mawazo yako ktk uhusiano wako kufanya kitu fulani kuleta maan nzima ya uhusiano kuzungumza matatizo yenu ktk uhusiano yy kila kitu sawa tu mume wangu mie nakusikiliza ww kweli ndivyo ilivyo??? hasa ktk swala la maendeleo yenu mke ndo mshauri mkuu wa mume na maendeleo ya mwanaume yoyote yako nyuma ya mwanamke mwerevu blv m ana kila kitu mzuri sana na tabia njema tatzo pekee ni hilo ambalo naona uhusiano unapungua kitu fulani
 
kuna rafiki yangu nae alikuwa na msichana kama huyo wako akawa anamuona hafai. kahangaika weee mwishoni karudi pale pale. kashatoa mahari tunasubiri kula ubwabwa.
mhh kumbe wapoooo wengine wa hivi mie sikuwai kuona
 
kuna rafiki yangu nae alikuwa na msichana kama huyo wako akawa anamuona hafai. kahangaika weee mwishoni karudi pale pale. kashatoa mahari tunasubiri kula ubwabwa.
mtu mzima itakwaje awe ndo anaelekezwa na haonyeshi mchango wake wa mawazo
 
wapo wengi kaka, tena inawezekana wa kwako ana afadhali.
tatizo wasichana wangu wa nyuma walikuwa watu fulani wa changamoto saaana dear nunua basi ile karpet.... mhh hi tv yako mbona ya kizamani sana.... lini utanunua kiwanja dear n.k kiukweli hii humfanya mwanaume akili ifanye kazi sana
 
mnawezakuwa mnapendana lakini ujue hiyo ndio changamoto utakayo kuwa nayo probably for life..,anaweza kubadilika au asibadilike, so asipobadilika jua hilo ndio litakuwa pungufu lake kwa hiyo cha kujiuliza unaweza kuishi na mtu wa hivyo mkioana?? hautatafuta substitute wa compliment hiyo gap ya wife to be? wapo watu wenye nyumba ndogo kwa sababu kama hizo za kwako, kupata chalenge za maisha, jaribu kumuexpose kwenye mazingira mbalimbali halafu uone mitazamo yake.
 
tatizo wasichana wangu wa nyuma walikuwa watu fulani wa changamoto saaana dear nunua basi ile karpet.... mhh hi tv yako mbona ya kizamani sana.... lini utanunua kiwanja dear n.k kiukweli hii humfanya mwanaume akili ifanye kazi sana

chukulia hiyo ni sehemu ya mapungufu yake. kama ushauri hata jf utapata.
 
binadamu ndo tulivyo..
mvua zikinyesha tunaulizana jua litawaka lini
jua likiwaka,tunaulizana mvua zitanyesha lini....

always tunataka more and more....

changamoto gani sasa hapo,mtu mtulivu...
muoe kwanza....labda utoto tu,kwanza hakuna watu wapole tu..
wengngi wakimya tu....utamjua vizuri ukishamuoa...

hahaha,....naam naam the boss, ...

atamjua vizuri akishamuoa

atamjua vizuri akishamuoa

atamjua vizuri akishamuoa...!
 
kuna rafiki yangu nae alikuwa na msichana kama huyo wako akawa anamuona hafai. kahangaika weee mwishoni karudi pale pale. kashatoa mahari tunasubiri kula ubwabwa.

hahahaaaaaaa
nimefurah huo mzunguko,,,,,yani kama ipoipo tu
uniamvie siku ya UBWABWA
 
cc wanaume sometime tuko wa ajabu sana. Nimekumbuka ule usemi wa wanawake wengi kwamba 'wanaume ni watoto wakubwa'. Yaani hatuna tofauti na watoto wengine wa kawaida tofauti kati ya wanaume na watoto ni umri tu, kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom