nimeshapata

Nascoba

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
310
160
napenda kutoa taarifa kwamba nimefanikiwa kupata mke mtarajiwa hapa jf kupitia bango ambalo niliweka,nilipokea pm nyingi na kupitia hizo malkia mmoja amepatikana.aidha napenda kuwatia moyo wote ambao walini pm kwamba wasikate tamaa ktk kutafuta wenza.niwaombe radhi pia wale ambao walikosa majibu kutokana na mimi kutowepo wakaishia kulaumu.
Nawapongeza na kuwashukuru mods pia kwa ukumbi huu.wana jamii wote kwa ujumla mutarajie kupata kadi za harusi muda wowote mambo yakishaiva.
Asanteni sana.
 
Hongera sana mkuu kwa kumpata mwenza
The unseen is illustrated by the seen.
 
Ikitokea bahati mbaya mkaachana (Mungu apitishe mbali), usisahau kuja hapa kutuambia kisa na mkasa.
 
Back
Top Bottom