Npe namba zao,maaaana hii elimu ya tz nmekata tamaa nayo magumashmagumash meng na huuu umaskin ndo daaah nachokah kabisa,n2pie manamba hayo
nenda kalime sio lazima kusoma..mungu ana makusudi yake..nenda kalime utakuja mjini kuleta mazao wakati wa mavuno
Slaker UMENIUDHI!!!!!!!!!!!!!!!!!Jamani rght on tyme me n best frnd angu 2meandikiwa not eligible koz 2 za ardhi wakat zilikuwa eligible kipind chote...land management and valuatn na buildng survey xote n egm point 13.....post za jesh znapatkana wap jaman....help us plz.......
am sorry mkuu.....y y y y
nenda kalime sio lazima kusoma..mungu ana makusudi yake..nenda kalime utakuja mjini kuleta mazao wakati wa mavuno
me cjafeli mkuu, xema qualified bt not selected....xo ujesh ntajishkza 2 4 a mean tym thn ntaxomaga mbele kwa mbele huko.....catch me..??Enzi za upolisi na jeshi kuwa kimbilio la waliofeli zinaelekea ukingoni...watch out!!!!
me cjafeli mkuu, xema qualified bt not selected....xo ujesh ntajishkza 2 4 a mean tym thn ntaxomaga mbele kwa mbele huko.....catch me..??
My point is..usifanye kitu kwa kuwa ulichotaka umekosa..are you sure hakuna alternatives za kupata ulichokuwa unataka kusoma?
Na ukiingia huko jeshini...si ndo nyie mtakao kuwa mnauwa raia wasio na hatia maana hata wito wenyewe huna...uliingia tu kwa sababu u were not selected (ndo kufeli huko...)!??? Where will efficiency and effectiveness and creativity kwa kazi come from!??? catch me???