NIMESALITIWA nisaidieni

Heshma mbele wana JF.

nIpo nalia bila kujua nini cha kufanya baada ya girl friend wangu wa pili kuniacha hivi hivi.

Demu wangu wa kwanza mimi ndo nilimwacha baada ya kumfumania live akimegwa na rafiki yanu wa karibu.

Huyu nilifuma msg<sms> za mwanaume na kuna uwezekanao wakawa wameshafanya mapenzi.

nikamuuliza ila ikawa tafrani kwani alingangania tuachane kama ni hivyo na hatimaye kukata mawasiliano nami .

Home haji tena hii ni week ya tatu,

Ila jamaa aliemtumia msg ni handsome na ana inasemekana ana mshiko manake anatembelea VX landcruiser.

Mimi ni ndo nimemaliza na nimebamba mzigo tayari ila hajui....

Sasa nilimwomba msamaha n a haniskiii kama nilikosa inawa yeye ndo kakosa.

Kabadli mpaka namba ya simu.

JF NISAIDIENI.

Inaelekea una gundu la kuopoa vicheche. Nenda kaogee maji ya mfenesi, jipake mate ya paka halafu uvae hirizi yenye kucha za kinyonga kwa siku 7, siku ya 8 nenda Chalinze au Rufiji ulizia kama kuna ngoma yoyote ya kumtoa mwali siku za karibuni, na mwali yeyote atakayekuwa anatolewa siku hiyo mtolee mahari huyo ndiye atakayekufaa.
 
We dogo unaonyesha si mtu mzuri wewe!

Mbona mbishi hivyo na huelewi kitu?

Umeiga jina...haitoshi hadi uige na Avatar?

Nilikuwa nakuonea huruma jinsi ulivyoporwa DEMU...kumbe ndiyo maana!...

FICHA UPUMBAVU WAKO..USIFICHE HEKIMA YAKO!!

PJ,Muacheni kijana aendelee kujivinjari jamani,maana binafsi sijaona popote alipokosea(kwa maana ya kuigajina na Avatar)...Robot anatumia jina la Invisible na kijana hapa anatumia jina la Visible...Na hata kwenye Avatar utaona kwamba Robot anatumia Avatar ambayo ni Bendera ya Afrika tofauti na hii aliyoiweka Visible....Sema mimi ambao huwa wananichanganya ni yule Invincible na The Invisible...Cha msingi msaidieni kumsahuri nini afanye kulitatua tatizo linalomkabili..Pamo jah
 
PJ,Muacheni kijana aendelee kujivinari jamani,maana binafsi sijaona popote alipokosea(kwa maana ya kuigajina na Avatar)...Robot anatumia jina la Invisible na kijana hapa anatumia jina la Visible...Na hata kwenye Avatar utaona kwamba Robot anatumia Avatar ambayo ni Bendera ya Afrika tofauti na hii aliyoiweka Visible....Sema mimi ambao huwa wananichanganya ni yule Invincible na The Invisible...Pamo jah


umenena niteteeeni.
 
Kwa heshima kuu ya kiongozi wangu BALANTANDA nakuruhusu uendelee kutumia jina hilo na avatar hiyo!..Ila kuwa mpole! Safari ni ndefu sana!


asantee sana na wewe ni mkuu wa kaya?au ?mnanimix sana watu wangu hapa.
 
Mkuu kuwa makini naona umeiga kwa mkuu wajamvi asiye ona kuanzia jina umekwepesha kidogo lakini umechukua ka avatar kake kwa kwenye signature haka hapa.​


Kwa nn usitafute Avatar ingine au unashindana na Invisible?
niishaweka ingine sasa.

malumbano kwisha ???au hata jina mkitaka nabadili
 
Visible
user_online.gif



SAFI SANA DOGO.

Sasa naona taratibu tunaanza kuelewana...
Hivi ndivyo tunavyoenda hapa ndani bana!

Utakuwa rafiki yangu sasa...

Nilikuwa nawaza cha kukufanya!
 
niishaweka ingine sasa.

malumbano kwisha ???au hata jina mkitaka nabadili

as far as it has nothing to do with Invisible sioni tabu sasa, unaweza weka na toyota pia kwa nyuma yako, benzi na mengineyo of your choice
 
Visible
user_online.gif

Visible has no status.
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png

reputation_highpos.gif





Quote:​


SAFI SANA DOGO.
Sasa naona taratibu tunaanza kuelewana...
Hivi ndivyo tunavyoenda hapa ndani bana!
Utakuwa rafiki yangu sasa...
Nilikuwa nawaza cha kukufanya!


Tupo pamoja mkuu wa majeshi.

asante kunijuza.
 
Ah umeonyesha udhaifu mkubwa na hujiamini yaani eti umemuomba msamaha mara jamaa ana VX huenda shughuli yako bado ya kitoto kwenye mapenzi kiwete hupakatwa baba hiyo ni nukulu ya Dr Remi huyo dame wako alikuwa haridhiki nawe pia mwenyewe una matatizo dame wa kwanza ulimfuma na best wako huyu naye msg waulize akina Fidel watakupa mbinu za kuhandle madame vicheche
 
Back
Top Bottom