NIMESALITIWA nisaidieni

nenda na bajaji ukamchue demu wako....bado anakupenda.line yake iliibiwa na ana mpango wa kuchonga nyingine....ng'ang'ania!
 
Heshma mbele wana JF.

nIpo nalia bila kujua nini cha kufanya baada ya girl friend wangu wa pili kuniacha hivi hivi.

Demu wangu wa kwanza mimi ndo nilimwacha baada ya kumfumania live akimegwa na rafiki yanu wa karibu.

Huyu nilifuma msg<sms> za mwanaume na kuna uwezekanao wakawa wameshafanya mapenzi.

nikamuuliza ila ikawa tafrani kwani alingangania tuachane kama ni hivyo na hatimaye kukata mawasiliano nami .

Home haji tena hii ni week ya tatu,

Ila jamaa aliemtumia msg ni handsome na ana inasemekana ana mshiko manake anatembelea VX landcruiser.

Mimi ni ndo nimemaliza na nimebamba mzigo tayari ila hajui....

Sasa nilimwomba msamaha n a haniskiii kama nilikosa inawa yeye ndo kakosa.

Kabadli mpaka namba ya simu.

JF NISAIDIENI.
Kama hutaki kuibiwa usiowe......!
 
Pole sana visible kwa kushambuliwa huwa nasikia vibaya sana member mgeni akishambuliwa humu na wanaojiona wakongwe napenda kuwajulisha tu HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA. mbarikiwe nawapenda wote
 
Wanawake wa Kitanzania = CCM

wengi ni mafisadi tu acha kulia tena umesaidiwa maana angekuacha njia pand awakati mlisha unganisha mambo ndo unge kuwa kichaa kabisaaa.

ACHANA NAYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Back
Top Bottom