Habari.
Mwenzenu niko kwenye hali ya kukata tamaa na kukosa matumaini kabisa ya maisha. Nimemaliza form four miaka kadhaa imepita sikufanya vizuri, nimereseat mara tatu hii mara ya tatu ni mwaka jana ambapo angalau nilipata c mbili na D moja.
Sasa nikajipa matumaini kuwa nifanye application kwenye vyuo mbalimbali vinavyotoa certificates nikaomba vyuo vya afya, vyuo vya ualimu, vyuo vya kilimo na vya uvuvi.
Sasa majina ya vyuo hivyo yanaendelea kutoka sioni jina langu hata chuo kimoja yaani nashindwa nifanyeje?? Au Mungu aliniandikia kufa kifo cha mende!
Naomba ushauri nifanyeje? Njia zote nilizozitegemea zioni suluhu.