Nimependwa na askari jeshi wa kike!

Mkubwa wala usitieshaka,wajeda ni kama wanawake wengine tu,kama umevutiwa naye na unaona mwenendo wake ni mzuri nakushauri usisite kuweka ndani jumla!!Tena ni wazuri sana hata kurekebisha tabia za wanaume wanapojisahau kimajukumu katika familia!
WARNING:Usijaribu ku-cheat akagundua,wenzio bunduki ni moja ya sehemu ya sare zao za kila siku!!
 
Mie nikushauri kitu kimoja,la msingi zaidi nendeni mkapime UKIMWI then huku mkiendelea na uhusiano wenu jiwekeeni ratiba ya kucheki afya mara kwa mara,mambo mengine hua niya kawaida
 
Mie nikushauri kitu kimoja,la msingi zaidi nendeni mkapime UKIMWI then huku mkiendelea na uhusiano wenu jiwekeeni ratiba ya kucheki afya mara kwa mara,mambo mengine hua niya kawaida
kwa hiyo tayari kuna walakini hapo. ya nini kuishi kwa wasiwasi namna hiyo?
 
Ana tofauti gani na wanawake wengine hadi ushangae ? Mbona ulimtongoza wewe, maana sio yeye aliyekuanza, ila sasa baada ya kumchezea unakuja kuuliza swali. Acha utoto, kama unaona anendana na sifa unazohitaji chukua hicho kifaa weka ndani, anza maisha.
 
kuna mengi yanasemwa kuhus hawa watu hasa huko depo na kambini kwao.
 
kama umempenda kwel na una wasiwas na kazi yake mwachishe kazi. Lasvyo utapunguza sku za kuishi kwa presha,
 
ha ha ha.....hiyo ni kazi kama zingine mkuu..chukua jumla mkuu, tena atakuwa mke bora na shupavu kuliko wewe..mazoezi ya depo sio mchezo, ila uwe mwanifu ndani ya ndoa ukileta mchezo hilo kwata utakalopewa utajutia kuoa mjeda
 
Back
Top Bottom